...lakini salama mkuu maana kitu kina sanzuka kwenye reli huku hakionekani mwisho,mizigo inafika swalama kabisahatare!
Ndiyo maana mawaziri wa tanzania hawataki reli ifufuke ili waendelee kufanya biashara ya kubeba mizigo kwa malori maana hilo moja ni sawa na malori 100
Wow :shock:kama 400 hivi