The Letter by CHADEMA UK and Its Impact!

Revocatus Kashaga Mbona unatokwa na povu, si ni barua tu yenye maoni na mtazamo wa kikundi cha watu wa UK wanowakilisha CHADEMA? CUF si tuliaminishwa ni chama cha kigaidi enzi hizo hadi tukaonyeshwa na visu na kila mbinu yoyote ya kutuaminisha hivyo? Si tuliona vurugu dhidi ya CUF huko Zanzibar (Pemba)?
Tafakari, jibu hoja kwa hoja, bila kufanya harsh, biased generalizations!
 
Last edited by a moderator:
Nina mashaka na uwezo wa ubongo wako.
 
Cdm ni chama cha kufutwa kabisa nchi hii. Nakwataarifa yenu huyo mwangosi wa ch.ten mnaemsema kauwawa na serikali mbona kituo chake cha ch.ten kiko benet na ccm kama hawakugundua kuwa nyie ndo wauwaji? Baada ya mabomu tu ya arusha IPP media imeachana na nyie. Mwishowenu mbaya sana.
 
Nenda Lumumba, buku lako la alfu 7 linakusubiri.
 
Kena kesho utapatiwa ajira kwa kazi nzuri ya kutetea maovu
 

Ipo sawa endeleen kupigania demokrasia ya kweli.
 
CCM wanajua madhambi wanayofanya humu ndani kwamba watu wa mataifa hawajui lolote -- hata Obama anajua kuna hujuma zinafanywa dhidi ya CDM na kuna wafuasi wake waliuawa juzi na mabomu ya police wa Tanzania. Ila CCM wanafikiri Obama na wamaarekani hawajui hizi habari za ugaidi wa CDM.

Kuna mmarekani mmoja wa security nilimuuliza comments zake kuhusu habari hii, akabinya jicho akaniambia its politics my friend.
akiwa na maana UGAIDI ndani ya Tanzania ni wa kisiasa.

Mataifa makubwa wanajua kila kinachotokea kila nchi duniani, wako well informed, na hata usipowaambia wana mikono mirefu mno kupata hizi habari kutoka katika kila nchi.
 

Waafika bana!
hata tukikaa nchi za wazungu miaka minagapi bado mawazo ni ya ki local tu, we never learn a thing about those guys. for them if you African send them anything bad about african countries they will happily publish it especially after shouts from true african patriots on the bad image the western media potray africa. so when you gus help them its a blessing to them. actually if you tell the western media that it is very dangerous now to live in any of the african country including TZ, than living in syria they will happily agree and report that!
one thing to consider and realize is that every government in the world including the one the new york times belong, have a dark side when it comes to human rights! and you know very well what i mean! maana kama wao wangekua angels wasinge worry kuhusu snowden or assange! keep on with your smeer campaign but africa will prevail anyway and so will Tanzania! and you are just diggint the pit! (refer to late Robert N. Marley)
 
Mambo ya karatasi magumu wanatafuta njia ya kujiita wakimbizi wataaminika na nani? Viongozi wote mashuhuri walikuwa Dar Obama; ,Bush hiyo ni kithibitisho tosha amani ya kumwaga ipo bongo; acha wajihangaishe tu bongo mswanoooo!
 
Mambo ya karatasi magumu wanatafuta njia ya kujiita wakimbizi wataaminika na nani? Viongozi wote mashuhuri walikuwa Dar Obama; ,Bush hiyo ni kithibitisho tosha amani ya kumwaga ipo bongo; acha wajihangaishe tu bongo mswanoooo!

Ramadhani Ighondu?
 
busara ya mtu haipimwi kwa kimo au maumbile,hupimwa kwa matamshi yake na maandiko yake kanywe rubisi kwanza.:A S 100:
 
Mambo ya karatasi magumu wanatafuta njia ya kujiita wakimbizi wataaminika na nani? Viongozi wote mashuhuri walikuwa Dar Obama; ,Bush hiyo ni kithibitisho tosha amani ya kumwaga ipo bongo; acha wajihangaishe tu bongo mswanoooo!
unapotoka panachangia kudumaza mawazo yako hamia kwa wenye uwezo wa kuchambua mambo pole sana:majani7:
 
This is for real! Well done CHADEMA UK.

I wish President Barack Obama could have this vital report from CHADEMA UK before he left for US.

Let the World over know what is happening in Tanzania. Let the Donors know what The Tanzania Government under CCM is doing to her innocent citizens simply because they are from the opposition side.

Let the ICC know that they have to prepare a charge sheet to CCM Leaders and Police Officers ready for prosecution at The Hague Court. ICC have to start with Mwigulu Nchemba, Nnape Nauye, Steven Wassira, IGP Said Mwema,Mizengo Pinda and others.

No one and Nobody is above the law in this country!
 

Heri yako Mkuu maana Fikra zako ni huru! "Mugabe aliwahi kusema kwamba, he can never trust mzungu, hata akiwa mfu" ninamuunga mkono 100%. Uozo wa serikali zetu, usitufanye kuwa wapumbavu kuwafuata na kuwaangukia ama kuwalilia msaada wanyang'anyi wa mali zetu-nguruwe weupe! NI FIKRA MFU, mbaya zaidi majority inajenga imani, MSITUPOTEZE -------! Hatuna imani na CCM sawa, lakini vivyo hvyo kwa UN, USA, AMNEST, cjui na takataka gani nyinginezo!
Uongozi Tz ni janga letu, we can solve it on our own way! TUSIKARIBISHE WANYANG'ANYI WA WAZI!
Mungu wetu anaita sasa!
 
HAPO KWENYE RED:The teargas canister was fired direct to his stomach as shown in the picture taken just few seconds before the firing which was done right amid other armed policemen,it was an action done delibarately,as the victim i.e the late Mwangosi was under their control.Sijui kwanini hapo mwandishi kachakachua,sidhani kama hakuwa informed sawasawa au alikuwa na dhumuni gani? Kaniachia maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…