William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,416
- Thread starter
- #61
One thing China have and its not in Africa is patience. So, unaweza kuona china imeanzia mbali, haija amka tuu asubuhi na kuwa China of today.
Mkuu Mtanganyika,
Heshima mbele, huuu ni ukweli mzito ambao hauwezi kuepukwa na Afrika, hauhitaji intellectualism kuelewa hili, na nido failure yetu hasa Afrika, inapoanzia na kuishia,
Bush, sasa hivi bado anasaini mikataba itakayoisaidia USA miaka 50 ijayo, pamoja na kwamba hatakuwepo kuiona matunda yake, huo ndio ustaarabu pia, wa kuweza kusaidia maendeleo ya nchi, ni pamoja na kuacha kujifikiria wewe tu na leo, kitu ambacho Afrika imekuwa ni kawaida!