Huoni ilivyo nzuri kwake, kwamba no more innuendos!
Nadhani kuna kitu tujifunze hapa, kwamba wenzetu process zako zipo open
Mtu akidai haki inatendeka. From the very beginning nilisema, Trump hakuwa na sababu za ku react, the process ndiyo ina clear doubts
Sasa hili la Russia hacking reaction yake si nzuri. Limeanzishwa na kuendelezwa na Bipartisan. Trump anasema CIA hao ndio waliongopa kuhusu Saddam. Hii maana yake anafanya kazi na security apparatus asizoziamini
He won decisively hana sababu za kujenga mazingira ya kuonyesha ana hofu
Uchunguzi ufanyike na conclusion itolewe.
Na upo uwezekano, haya yametoka Dem au other sources
Now, in order to clear doubt aache kuzozana na security organs au congress
He is pres elect