The last ship, Hawa jamaa da!

The last ship, Hawa jamaa da!

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,560
Reaction score
5,164
"The world is very sick" ni moja ya sentence katika series ya the Last ship, Series ambayo wakati naanza kuiangalia mwaka 2015 niliiona kama ya kufikirika mno kupita maelezo. Miaka mitano mbele kile walichokiigiza, Sasa siyo maagizo tena ni uhalisia kwa asilimia angalau 90%.

Ninachokumbuka mle ndani wamejaribu pia kuibua issue ya ugonjwa hatari kushambulia Mazao kiasi cha kutokea mtafaruku mkubwa wa kugombea Mbegu fulani iliyoonekana kuhimili magonjwa hayo.
Tusubiri tuone, pengine series hizi za wenzentu tuanze kuziangalia kwa jicho la tatu, huenda ni zaidi ya series. May be one day series ya Revolution itakuwa halisi.
 
"niliona kama ya kufirika mno kupita maelezo"😂😂


au mods mnasemaje????
 
Itabidi niitafute tena labda, baada ya kuangalia season 1 nayo sikuimaliza
 
Ukiiangalia Contagion ya 2015 utasemaje kama The Last Sheep unaseimea hivyo,,
Sijawahi kuiona, point yangu ni kuwa they were just imaginations na tuendelee kuzichukulia Kama burudani au tuanze kuziangalia kwa jicho la ndani zaidi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom