The HSPs (Highly Sensitive Persons)

100% yaani siwezi ku-interact na jamii kabisa! Mara nyingi nakua peke yangu nacheki movies tu za Akina 007 and the like!
Vipi kama unafanyaga mazoezi unapendaga kuwa peke yako? Kwa mfano ukiwa gym au kwenye michezo unaonaga kama vile watu wote wanakuangalia wewe?

Je kazini huwa unatamani ungepewa kiofisi cha kwako tu na usiwe kwenye ofisi ya watu wengi?
 

Is this other name for autism? Its diagnosed condition
 
Vipi kama unafanyaga mazoezi unapendaga kuwa peke yako? Kwa mfano ukiwa gym au kwenye michezo unaonaga kama vile watu wote wanakuangalia wewe?

Je kazini huwa unatamani ungepewa kiofisi cha kwako tu na usiwe kwenye ofisi ya watu wengi?
Before nilikua nakwenda gym but nikashindwa nikanunua vifaa now mafanya mwenyewe home! Kazini ndio napata wa kati mgumu! Mpaka nafikir ni quit job! Naonaga Hawa coworkers hawafit kufanya pamoja na mm! Unajikuta utaona mengi Katika kazi
 
Yani mara nyingi napenda kukaa peke yangu mpaka ofisini wananiambia ninaringa lakini sio kweli, nikifika kazini asubuhi nikishasalimiana na niliowakuta kunyanyuka ni muda wa lunch, over weekend mimi ndani najifungia kitandani na kuchart, sometimes mpaka nakosana na friends zangu maana unakuta tumepanga tutoke ikifika ule muda wa kutoka nagairisha mpaka siku hizi hawanialiki tena, but i feel more comfotable when i'm alone.
 
Before nilikua nakwenda gym but nikashindwa nikanunua vifaa now mafanya mwenyewe home! Kazini ndio napata wa kati mgumu! Mpaka nafikir ni quit job! Naonaga Hawa coworkers hawafit kufanya pamoja na mm! Unajikuta utaona mengi Katika kazi
Watu kama nyie hata kuwa mwanamichezo ni ngumu (of course sio kwamba haiwezekani) maana unaona kama vile watu wanakuangalia sana (watching your every move) na inakupa shida sana.

Huko ofisini jitahidi tu au kama vipi omba uwe na ofisi ya peke yako.

Vipi unakuwa emotional hata kwa vitu vidogo?
 
Nakua emotional pale mtu anaponidanganya but the rest na ignore to! Kuwa mwanamichezo nimeshindwa kabisa! Hata kuangalia Mpira kwenye kadamnasi pia siwezi kwa kweli zaidi ya movies, music na vitabu and the like!
 
Hahaha nakuelewa sana.
Ukiingia ofisini kitendo cha kukutana tu na watu koridoni unaanza kusisimka, wkt mwingine unatamani hata ubadili njia ukikutana na watu unaowafahamu.

Ukitoka outing na marafiki, ukirudi unaona unahitaji muda wa kurecover. Unakuwa exhausted sana (being around people exhausts u).

Vipi kuhusu maumivu, unaweza kustahimili maumivu? (pain tolerance)
 
nlichogundua HSP wote mna kaukishua flani hivi,kama huna pesa wala kazi rasmi hiyo mnaita HSP itatoka tu,kilichonifurahisha wote mnajua kingereza.


hivi kwa wale tulio na marafiki wengi,yan hupati muda wa kukaa peke yako labda muda wa kulala,yani ukiingia ndani tu mgeni huyu hapa,mnataka kukaa tu wengine hao na simu za kukutaka uende hazikatiki,ikitokea uko peke yako siku haiendi kabisa unaona bora hata uende barabaran unyooshe miguu tu,.muda na movie huna na ikitokea ukaangalia basi unataka za mazombie,kivita,mapanga.vip na sisi tunaitwaje
 
Punguzeni kuangalia movies naona zinawaendesha vibaya
 
Hii hali haina ukishua wala nini na sijui kwa sababu gani unasema hivyo.

Ni aina fulani ya watu na imefanyiwa utafiti. Haina uhusiano na hali ya kipato cha mtu.

Kingereza kimetumika kwa kuwa kuna maneno hata kiswahili chake kukipata ni ngumu. Wewe niambie HSP anaitwaje kwa kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…