The Heavenly Father

Aliejuu nae anaudevu..🤣 hivi unahabari kila unachokiona kwenye mwili wa binadamu kinamaana! Ndevu zinaonyesha upevukaji so aliejuu huyo uliemuweka hapo naona kapevuka kwelikweli.. the baba the dingi..😅
 
Baharia
 
What's funny there, so you don't believe if he exist?
 
Baba wa mbinguni Ni mwenzako sio?
Ebu tuache please na uache masihara na Muumba wa mbingu na ardhi. Hataniwi. Ama umeshasoma mahali kwenye Vitabu Vitakatifu kwamba Mwenyezi Mungu alikaa akapiga story na kutaniana na kiumbe wake?

Huyo uliemuweka hapo mbona Kama Comedian flani keshapiga vituz jicho nyang'anyang'a.
 
Wa enzi zile..
Baba wa enzi yote. Alafu mkiwa mnajibu tumieni akili zenu, msisukumwe na ushawishi wa nje, aliyechora hii hii p he was intuitively guided by the Angels. Remember you can not do such a thing, kwa Baba yako na Muumba mwenye enzi yote.
NB:I am here to awaken the masses, to rise their vibration to a 5dimension so that we can all overcome the elites game.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…