Huu mchanganuo wako umenikumbusha ishu ya kilimo cha tikitiki maji!πππππ
Watu waliingia kichwa kichwa walikula za USO mpaka leo hawana hamu!
Parachichi ni kilimo kizuri ila hili soko la nje linalitangazwa tatizo vigezo!
Ishu za kutumia samadi ndo wengi watakwama