Yamebakia masaa chini ya 48 kuuaga mwaka 2012 mengi yametokea, mema na mabaya, ya kufurahisha na kutia simanzi!
lete hapa tushirikishane ili yaweze kuwa kumbukumbu kwako na kwetu pia
la kwangu mimi ni kujiunga na Jamii Forums! nimekuwa na wakati mzuri mno mtandaoni