Internal Control
Member
- May 3, 2012
- 73
- 37
Upinzani Siku Zote Huwa Wakishindwa Chaguzi Hawana Tatizo, Wanakubali Matokeo na Wanakuja Kumpongeza Rais Wa Chama Tawala Wakati Wa Kuapishwa Kwake Na Maisha Huendelea Tena Kwa Amani Kubwa tu.
Swali Ninalojiuliza Ni Kuwa
Je Ikitokea Upinzani Ukashinda, Je Hao Chama tawala Watakubali Kutoka Madarakani Kwa Hiari?
Swali Ninalojiuliza Ni Kuwa
Je Ikitokea Upinzani Ukashinda, Je Hao Chama tawala Watakubali Kutoka Madarakani Kwa Hiari?