mdeesingano
Member
- Aug 12, 2008
- 64
- 19
Kwa sasa kasi kubwa ni katika kuhamia mobile web na mobile app vitu ambavyo ni viwili tofauti ingawa all in all kazi yao ni moja tu sharing information!
Je, kwa bongo trend yetu kwa sasa ipo wapi zaidi!? kipi bomba zaidi!? Kipi kipo implemented zaidi hapa bongo!?
Je, kwa bongo trend yetu kwa sasa ipo wapi zaidi!? kipi bomba zaidi!? Kipi kipo implemented zaidi hapa bongo!?