My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Kazi yao ni kufuatilia CHADEMA tu na kuhakikisha kuwa inakufa, Halafu wamejaa vilaza watupu, katili na mambumbumbu ya kutupwa... Wakishajua wewe ni mpinzani wa kweli hawawezi kukuajiri, yaani wanahatarisha usalama wa nchi kwa sababu za kichamaKumbe kwa sasa vijana wa UVCCM ndio wanaoendesha TISS ! hili ni janga kubwa sana ! hawa uwezo wao ni kung'oa mboga za Mbowe tu na kufuatilia maandamano labda na kushinda humu jf kufuatilia watoa maoni
Sasa kwa mtindo huu ndege zitaacha kukamatwa ?Kazi yao ni kufuatilia CHADEMA tu na kuhakikisha kuwa inakufa, Halafu wamejaa vilaza watupu, katili na mambumbumbu ya kutupwa... Wakishajua wewe ni mpinzani wa kweli hawawezi kukuajiri, yaani wanahatarisha usalama wa nchi kwa sababu za kichama
Tuendako hata mawaziri watakamatwa ili kulipa madeniSasa kwa mtindo huu ndege zitaacha kukamatwa ?
Duhh! Kumbe ndio maana kuna baadhi ya maeneo huko ughaibuni hawakwendiiiTuendako hata mawaziri watakamatwa ili kulipa madeni
Wawili nipo nao hapa nawatafsiria uzi huu kwa kiswahili.Wanatia huruma kweli na vichwa vyao kama punje za mchele!Sasa kwa mtindo huu ndege zitaacha kukamatwa ?
Zingebaki kwanza kusomba nyama ya mbuzi ili kusubiri upepo utulieHamna sababu ya kuwalaumu hao TISS.
Deni ni deni tuu. Dawa kulipa
Sasa ulitaka ndege zisiende huko nje wakati in another side ndeege zetu kwenda nje ni proud ya mkulu?
Ile ya inayoenda india haija anza?? Mabeberu wasije ikamata na ile
Wawili nipo nao hapa nawatafsiria uzi huu kwa kiswahili.Wanatia huruma kweli na vichwa vyao kama punje za mchele!
ππππ lugha lugha lughaWawili nipo nao hapa nawatafsiria uzi huu kwa kiswahili.Wanatia huruma kweli na vichwa vyao kama punje za mchele!
They're too hopelesses to be defined.Ilitakiwa niwadanganye ili washangilie na uzuzu wao.Merde!οοοο lugha lugha lugha