Geza,This is unbelievable... we r witnessing story in the making! Laingwan is proving to be unabandoned wagon within the CCM rankings towards the ultimate coronation!
Geza,
Lisilowezekana kwa mwanadamu, kwa Mungu linawezekana!.
Geza,
Lisilowezekana kwa mwanadamu, kwa Mungu linawezekana!.
Mwana wa Adamu Alikuja kwa ajili ya waliopotea na sio kwa ajili ya watakatifu!.
Tena akahimiza "wote wenye mizigo waje kwangu nitawapumzisha!"
Wakuu wa kanisa wanapaswa kutenda kama mkuu wao kuwakumbatia wasio wakamilifu ili kuwatakasa!.
Na mwisho nasisitiza, " JIWE WALILOLIKATAA WAASHI LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!".
This is unbelievable... we r witnessing story in the making! Laingwan is proving to be unabandoned wagon within the CCM rankings towards the ultimate coronation!
Credit: michuzi-matukio.blogspot.de
Inanishangaza tunapoanza kutumia maandiko kutetea hoja zilizo wazi, tukiamua kumhusisha yesu na suala la ujio wake duniani tunaingia katika mambo ya imani ila suala la lowasa halihusiani na mambo ya kiimani ila uadilifu wake kwenye jamii na vipi jamii inamchukulia! Unaweza kutujuza kwanini amekuwa na kasi ya kuhudhuria matukio ya kikanisa kama lengo lake si kukijenga upya kivuli chake ndani ya jamii? Najua maisha ni magumu lakini usikubali kutumia fikra za mtu mwingine ndani ya kichwa chako ili ukidhi kupata mkate wa kesho! Ingekuwa ni nyakati za kina chifu mangungo akiwa ungeweza kujiuza hata utumwani weye.mzee acha kukurupuka,Yesu alipokuja duniani hakuja kwaajili ya watu wema,bali kwa wenye dhambi ili wapate kutubu.Pia kwa yeyote anayejiona kua hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia Lowasa mawe.Pia kipimo cha dhambi ni Mungua anayejua.Mungu ndiye anayejua kua Lowasa ana dhambi au la.Pia leo hii ukiambiwa Lowasa ana utajiri wa kiasi gani na uko wapi utasemaje?
Eeee wajameni hizi picha zina maelezo mengi lakini yoote yakiongea kitu kimoja tu! Nacho ni power of this man from Monduli...
Hebu tujaribu kujiuliza kama leo hii wewe unaonyeshwa hizi picha halafu humjui Lowassa halafu unaambiwa utoe maelezo! Nina uhakika 99% utasema Mtu mrefu mwenye mvi ndiye center of attention na hizi picha zinaonyesha ni mtu mkubwa/mashuhuri/kiongozi katika jamii!
Japokuwa kanisa Katoliki limejaribu kukataa kumualika Lowassa ukweli ni kwamba technically Lowassa ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi ule! Na ndiye aliyeiwakilisha serikali japokuwa kulikuwa na Mh Bendera, Waziri Kombaini na Waziri Mponda hawa woote hawakuwa na ukuu aliokuwa nao Mh Lowassa ambaye kiwadhifa ni Mbunge tu wa Monduli!
Hebu angaliani anavyonyenyekewa! Hii nchi imenunuliwa jamani tukubaliane hilo huyu jamaa ni noma!
Ivi lowasa ana kosa gani?? Nani anaweza kuniorodheshea makosa ya lowasa hapa?? Sitanii mimi ni kati ya wanaompenda Lowasa (sio chama chake ) lakini kwa utendaji wakenamkubali. Pengine niorodheshewe ufisadi wake humu with evidence otherwise tuache majungu na kuchafuana.
Hawezi kutubu tu kirahisirahisi alafu asamehewe lazima aturudishie hela zetu.Hatukatai Lowassa alikosea lakini sisi tunaendelea kulalamika na kumsema , utakuta yeye ameshatubu na kutengeneza na Mungu wake kwa hiyo ana amani kwenda popote. Biblia inasema dhambi zako zijapokuwa nyekundu kama damu nitazisafisha zitakuwa nyeupe kama theluji.
Proof please!!!!Kanisa katoliki ni kanisa langu tangu kuzaliwa kwangu.Nimezaliwa na kukulia humo.Ni kanisa thabiti na lisiloteteleka.Lakini,kwa sasa mnaniangusha.Mtamwalikaje fisadi nambari moja nchini Edward Ngoyai Lowassa tena kwenye sherehe ya kumsimika Askofu Saritarius Libena? Hamjui kuwa pesa alizonazo Lowassa ni chafu? Kardinari Pengo umeruhusu jambo hili? Kanisa langu lapoteza dira...
Red ndo jibu!Ivi lowasa ana kosa gani?? Nani anaweza kuniorodheshea makosa ya lowasa hapa?? Sitanii mimi ni kati ya wanaompenda Lowasa (sio chama chake ) lakini kwa utendaji wakenamkubali. Pengine niorodheshewe ufisadi wake humu with evidence otherwise tuache majungu na kuchafuana.
Kanisa katoliki ni kanisa langu tangu kuzaliwa kwangu.Nimezaliwa na kukulia humo.Ni kanisa thabiti na lisiloteteleka.Lakini,kwa sasa mnaniangusha.Mtamwalikaje fisadi nambari moja nchini Edward Ngoyai Lowassa tena kwenye sherehe ya kumsimika Askofu Saritarius Libena? Hamjui kuwa pesa alizonazo Lowassa ni chafu? Kardinari Pengo umeruhusu jambo hili? Kanisa langu lapoteza dira...
Do not give up so easily. Zaidi ya 60% ya wapigakura 2015 watakuwa group ambayo ushawishi wa watu kama Pengo kwao ni minimal. Hizi nyimbo za Lowasa na ajira kwa vijana hazitamsaidia sana. Mwache aendelee kumwaga pesa, mwisho wa siku atakapokosa anachotafuta ataambulia mshituko wa moyo.nime givu up-Lowassa chukua nchi