fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,033
- Thread starter
- #21
Kuna sababu ambazo zinaweza kukufanya kumvumilia mtu ikiwa ni pamoja na kuwa na matumaini kwamba atabadilika.Unamaanisha bado uko kwenye mahusiano na huyo anayekupa maumivu???
Lakini kama unaona atakusabaishia matatizo mbeleni au tayari amekusababishia, inakubidi uchukue taadhari.