-Wachoraji bora wa ramani za nyumba/majengo kwa gharama nafuu
-Wajenzi wa nyumba bora,imara na za kisasa kwa gharama nafuu sana.
-Wabadilishaji wa muundo wa majengo/nyumba yaliyopo/zilizopo kwa muundo unaopendekezwa
-Wabunifu hodari wa nyumba za makazi kulingana na eneo husika
-Wakadiliaji wa gharama halisi za ujenzi wa nyumba/majengo.
Tunapatikana:- Kibaha kwa Mathiasi
Chanika
Kimara bonyokwa
Mkuranga
Vikindu
Kibamba
Ofisi yetu ipo:- TABATA-Kimanga mwisho jirani na
shule ya sekondari ya wazazi
Tupigie simu tufike kwenye eneo lako popote,ndani ya jiji na nje ya mji tunafika.,maongezi yaanzie kwenye kiwanja(site) chako.
Simu:-0784 762279,.0718 186686,.0717 627913,.
0786 407109,.0714 460551,.0784 836383
TUJENGE KWETU