The expert Mlokole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The expert Mlokole

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ramos, Sep 7, 2012.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama nitakuwa na-offend kundi fulani la watu, naomba msamaha mapemaaa...
  Yupo mdada mmoja ambaye kwa anavyofahamika, ni mlokole 'toka utotoni'. Baada ya kutumia gia kadhaa zinazotumika katika kuwapata hawa viumbe wa kundi hili, nilifanikiwa kumuingiza line. Huku kidume nikiamini kuwa leo naenda kutesa katoto kasikojua sawa mchezo, hasa nikizingatia uzoefu wangu kiasi fulani nilionao kwa magumegume, ebwana nilipigwa sapraizi vibaya!!!
  Nilichezewa mchezo ambao sikuwahi kuuona neither kwa gumegume, nor kwa mwanamke yeyote katika historia yangu ya mapenzi. Sio siri, na tena nakiri kuwa hadi gemu linaisha asubuhi alikuwa akinicheka balaa, maana kama ingekuwa mpira ningekuwa nimechapwa 3-0, kitu ambacho hakijawahi kunitokea kwenye haya magemu.

  Kumbe tusiwajaji watu kwa mwonekano wa nje...
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hadithi yako inatufunza nini?
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  'Mlokole' my foot, kuna Mlokole wa dini as in dhehebu lkn si kweli ameokoka! Anakuwa ameokoka wakati anakata mauno, yaani ni bonge la kufuru; l wonder why they use that term in the first place!

  Uko baharini (duniani) na unahangaika na mawimbi unajiita umeokoka? Kwanini usifike nchi kavu (mbinguni) ambapo una uhakika wa kutokurudi baharini ndipo useme umeokoka?
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Huyo si mlokole ni fix tu.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndetichia like this
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Huyo ni mlokole mambo leo....
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kaunga is glad that ndetichia likes this!
   
 8. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180

  Hadi mnaingia kuivunja amri ya 6, hapakuwa na mlokole tena. Tatizo wewe umesema alikuwa mlokole tangu kuzaliwa, ila hujatuhakikishia kuwa bado anaendelea
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ,mhhhhhhhhhh
   
 10. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  relax bwana sie ndio twashindwa elewa. kumbuka mtu kuokoka haimaanishi basi yeye ndio kawa mkamilifu..all it means ni kwamba yeye ameamua kuishi maisha yenye kumpendeza MUNGU. sasa inatokea kuwa anaweza kutereza pamoja na kwamba yeye ni mlokole becoz pamoja na ulokole huo bado hajawa mkamilifu.
  alafu wao wale ambao ndio hivyo double lifestyle...huku full maombi kumbe upande mwengine full shetani.
   
 11. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,342
  Likes Received: 6,687
  Trophy Points: 280
  uchapwe 3-0 kwani wewe simba!!!
   
 12. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ngono wameumbiwa binadamu bana..na hao walokole nao ni binadamu ati..
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  I like this really.
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Baadhi ya walokole ni 'wagonjwa tu wa akili'
  so matendo yao huwa vurugu tupu

  niliwahi opoa mdada mlokole
  baada ya round ya kwanza
  akapanda kitandani na biblia huku yuko naked akaanza kunihubiria...
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha, yaani l can imagine hiyo scene. What did u do? Haikukuput off?
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Ilini put off big time
  lakini kuna kitu alisema nilikuwa nacheka kimya kimya
  alisema yeye hawezi tembea na muislam au mkatoliki...
  si na mimi niko humo humo....nilimdanganya mi mlokole..lol
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Just tell me you are kiddin' buddy...hahahahaha!!
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Ni very true
  kila nikikumbuka nacheka sana..
   
 19. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sasa mzee si ulikuwa unaitikia AMEN huku mimacho umeielekeza ikulu!!..au??
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  The Boooooooooooos!ahaahhahahahhahahah duh leo umenipa kali kuliko!sasa uliendelea kweli?
   
Loading...