The European Parliament Resolution on Tanzania (2018/2969(RSP)) is all about LGBTI people

Kwa wazungu fanya utakalo kwa wananchi wako, ua, funga,piga. Lakini ikija kwenye swala la ushoga usilete mchezo. Ukibana kwenye ushoga lazima wakumalize.
 
Sijasema Lissu ni bora kuliko wananchi wengine! Nimepinga habari ya Lissu kupotezewa na mtu mmoja kusema ni classified information!

Sipendi ushoga lakini kama katika issues 16 umejikita kwenye ushoga basi una matatizo ya akili!

Kuniita mimi shoga wala si tusi sababu ni hulka yako ya kutojua nidhamu ya minakasha
 
Haa.. Kumbe nawe uko sawa. Basi kama kati ya hayo yaliyo tajwa hukurahishwa na moja wapo hao EU ni wa kupuuza ili tuendelee kujenga nchi yetu.. Tukiwachekea kila kitu na kuwalilialia kutaka watutetee kwa mambo yaliyo chini ya uwezo wetu ni uenda wazimu wa kukaribisha ukoloni mpya. Ukoloni mamboleo . ukoloni wa uchumi tegemezi.
 
Unaongelea uhuru halafu hapo hapo unamwita mwenzako bwege kwasababu ana maoni tofauti tu na wewe! Wanafiki sana. Waacheni wasiotaka mambo ya kuoana wenyewe kwa wenyewe nao waongee.
Kwenye hoja zote mnakomaa na hiyo moja tu!!!!!!
 
Nasikia James delicious leo kajiunga ramsi na chedema... Sijui kwanini
 
Teh teh... Mnajaribu kukwepa ngumi kwa kufumba macho. Ama kweli akili ni nywele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…