Acha uchonganishi, nimezungumzia vituko vya huyo mfalme wa Afrika ya Kati na si vinginenvyo.....Unamaanisha Jakaya madaraka yamempanda kichwani na yeye au?
Itabidi ukaedit mstari wako wa mwisho ili post yako iendane na msimamo uliouonyesha hapa ama sivyo wengi watapotoka alafu uwaite wachonganyishi.Katika utawala wetu wa sasa unapotoa mfano wa rais au mfalme wa taifa lingine,unamaanisha unatuambie tumuangilie na rais wetu pia,Acha uchonganishi, nimezungumzia vituko vya huyo mfalme wa Afrika ya Kati na si vinginenvyo.....
Acha uchonganishi, nimezungumzia vituko vya huyo mfalme wa Afrika ya Kati na si vinginenvyo.....
Wewe una agenda yako, ulikuwa unatafuta pakuipitishia tu.....Itabidi ukaedit mstari wako wa mwisho ili post yako iendane na msimamo uliouonyesha hapa ama sivyo wengi watapotoka alafu uwaite wachonganyishi.Katika utawala wetu wa sasa unapotoa mfano wa rais au mfalme wa taifa lingine,unamaanisha unatuambie tumuangilie na rais wetu pia,
Na mapinduzidaima ana agenda yake anapitisha sio?Wewe una agenda yako, ulikuwa unatafuta pakuipitishia tu.....
MkuuItabidi ukaedit mstari wako wa mwisho ili post yako iendane na msimamo uliouonyesha hapa ama sivyo wengi watapotoka alafu uwaite wachonganyishi.Katika utawala wetu wa sasa unapotoa mfano wa rais au mfalme wa taifa lingine,unamaanisha unatuambie tumuangilie na rais wetu pia,