KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 774
"So far intl media like CNN, Guardian,Economist wamekuwa wakiandika one sided stories about this saga without fact checking with tz govt even on smallest of things"
...one sided stories? Without fact?!
Sasa watoe wapi hizo facts za upande mwingine ikiwa hizo ripoti ambazo ndio zinejaa hizo facts zimefichwa makabatini?!! Ripoti zimefichwa zinafanywa siri watu watoe wapi hiyo story ya upande wa pili?! Acha waendelee hivyo hivyo kuandika hizo one sided stoy mpaka siku hizo ripoti zenye facts na true story zitakapotoka mafichoni...