The different types of women

Haukua na haja ya ku quote post nzima ili uandike ....not bad....
Lazima utakuwa na uwezo mdogo kiakili. Nime copy paragraph ya type ninayoipenda tu ndio nikasema not bad...yaani kwangu anafaa. Sasa kama kisimu chako kinakuonesha nimequote post nzima hilo sio tatizo langu.
 
kui njoo unitafusirie hapo kwa motherly mama[emoji9]

My Wii wewe ni motherly mama?!, inawezekana manake ulivyo M sweet na unavyowatunza kaka zangu, naona hawasikii wala hawaelewi kwako jinsi walivyofika..
 
My Wii wewe ni motherly mama?!, inawezekana manake ulivyo M sweet na unavyowatunza kaka zangu, naona hawasikii wala hawaelewi kwako jinsi walivyofika..
Yeeey kumbe ndo inanihusu hiyo ee. Ngoja niongeze bidii[emoji126]
 
Reactions: kui
Akija wifi yako anakujulia panapokuhusu.

Nime scroll up and down natafuta pa kukuweka sipaoni mbona, kila nikijaribu naona vingine napatia, vingine nakosea.

Heaven Sent msaada please!, njoo tucheze bahati nasibu hapa, tukipatia kum match atoto kasema atatupa hela. 😀
 
ingependeza zaidi kama ungeandika kwa lugha ya kiswahil ili wengi waelewe vizur zaid
 
I love me some Career and Independent women. They don't take crap from anyone, and might just walk off on you..[emoji1][emoji124][emoji124]

My Wii wewe ni motherly mama?!, inawezekana manake ulivyo M sweet na unavyowatunza kaka zangu, naona hawasikii wala hawaelewi kwako jinsi walivyofika..
'Kaka zako'!! Basi sawa.
Kweli ni motherly kwa mtindo huo.
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…