The Difference Between LOVE and LIKE

Okay tuachane nalo tu.
 
'Love' is emotional like while 'Like' is rational love
LIKE leads to sex with no commitments. They leave you after sex.

LOVE is deep, LOVE commits. LOVE takes responsibility.
 
LIKE leads to sex with no commitments. They leave you after sex.

LOVE is deep, LOVE commits. LOVE takes responsibility.
No like doesn't lead to sex because you apply knowledge and reasoning to choose what to like, while Love is deriven by implses of emotions with little wisdom and reasoning, its usually easy to love some body with out a reason but its hardly to like something with no reasons
 
Understand the difference between love and like.
 
Understand the difference between love and like.
Naona unashindwa kuelewa kitu kimoja tuanfike kiseahili...Hakuna Love bila ya Like kwanza lazima umtamani mtu(like) ndio uje umoende(love) love inajutengeneza baafa ya kuwa kwenye mahusino na mazoea inatengeneza link fulani so mtu huyo atakuwa zaidi ya kilamtu kwako lakini at first lazima Like ianze.

Kila mtu anaina yake ya wanawake mfano mimi wanawake model tiali ninao kichwani nikimuona tu lazima aki meet na nilichoweka ubongoni ninamtamani na kumtaka this is Like nikimtongoza na kukubali tukaishi kwa at least miezi mitatu vizuri Happ ndio itakuja LOVE huwezi moenda mtu from day one uwongo

nafikiti ndicho alichoandika jamaa pia
 
Kila mtu anaina yake ya wanawake mfano mimi wanawake model tiali ninao kichwani nikimuona tu lazima aki meet na nilichoweka ubongoni ninamtamani
Huwezi ku like shepu ya mdada halafu ukatangaza kuwa you love her, hivi unadhani hilo shepu huwa linadumu? We sema umetamani shepu yake wala hujampenda maana hilo shepu likiporomoka baada ya tamaa zako kuisha utahamia kwa kwa baby zuu uendeleze tamaa zako huko.

Kumbuka LOVE hushughurikia hali zote katika shida na raha.

LIKE hushughurikia tamaa iliyowaka na baada ya kula mzigo kwisha utaachana naye maana ile shepu uliyoitamani itakuwa expired kwako.
 
Boss hemu makinika na maelezo..MOSI

PiLI, tukisema Like usilazimishe kuwa Ni makalio tu like tunazungumzia unavyo meet mwanamke for the first time mfano umemuona standa umevutiwa nae umtongoze hio ni LIKE

Hoja yangu ni ”Mahusino yote unayoyao a Duniani watu walianza na LIKE for the first then LOVE inakuja baada ya kudumu kwenye mahusino kwa muda" na wala hoja hazungumzii kutamani makalio wala shepu ni mtu kwa unjumla awe kavaa mabaibui vyovyote vile namzungumzia mtu MWANAMKE IN GENERAL

Kuzaliwa kwa uoendo (love), kwa experience yangu tangu naanza mahusiano hufikia hatua ya kumoenda mtu deep love tukifika kipindi kuanzia miezi mitatu endapo tumefanya engagement ya maana chatting, outing, kuoena attention, care nk Mimi mwanmke huyo moyo automatically utamoenda hata penzi likivunjia inachukua muda kuzoea ila kipindi Cha mwanzo lazima niene sipo sawa hata nikiwa kazini hii ndio LOVE inahitaji effort fulani baina ya watu wawili ndio ijijenge BUT LIKE Ni ile approach yako ya mwanamke kwa siku ya kwanza ndio maana siku hio ya kwanza hata huyo mwanamke akukatae, akutukane nk still utakua stable kwasababu Love haijajijenga

So inaanza LIKE then LOVE, LOVE haiji kwa wewe kusema tu nakupenda bali inajijijenga yenyewe na kuivunja kwake kwa maumivu

Kama uko against hiki niambie wewe nikiilize swali, uki meet na mwanamke for the first time nakuanza kumu-approch je kinacho operate Happ ni LOVE au LIKE ???
nipe jibu hapo
 
We baki na unacho kielewa, mie nimeweka hapa ninachokielewa Ila wewe hukubaliani nacho.

Nikushauri tu uanzishe uzi kuhusu unavyoelewa LOVE & LIKE ni kitu kimoja ama lah.

Hakika tutajadili na kuwekana sawa.
Umeshinda naona natumia nguvu unakichwa kigumu jamaa
 
We baki na unacho kielewa, mie nimeweka hapa ninachokielewa Ila wewe hukubaliani nacho.

Nikushauri tu uanzishe uzi kuhusu unavyoelewa LOVE & LIKE ni kitu kimoja ama lah.

Hakika tutajadili na kuwekana sawa.
Unaina tatizo lakokwa maelezo yangu nimesema kitu kimoja Hapo au nimeeleza kutegemeana kwake na ndicho ulikuwa unabushana na jamaa hikohiko bila kuisoma hoja unakurupuka tu.

Jukwaa ni huru kwa experience yangu mtu akiwa Anaandika hoja kwa mtiririko then mtu mwengine akawa anajibu tu kinachomjia huwa inakera sana
 
Mkuu nimekuelewa sana kile unachotetea, tatizo lako wewe hukuelewa hata kile alichokuwa anatetea yule jamaa.

Anyway Tumeshamalizana tusiendelee kubishana
nimesema kitu kimoja Hapo au nimeeleza kutegemeana kwake na ndicho ulikuwa unabushana na jamaa hikohiko bila kuisoma hoja unakurupuka tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…