The Difference between being “FAT” and dressing a size TOO SMALL.....!

Kaaazi kwelikweli, wengine ukiwaona unaona kabisa hizo nguo ni size ya wadogo wao wa darasa la saba au sekondari, na wanatembea mtaani tu bila wasiwasi
 
Ha ha ha haa Mtambuzi umenisema mimi kabisaaa.

Yote mawili yanawezekana, either kununua nguo ndogo zikakubana ukasema umenenepa au ukanenepa ukakuta nguo zilizokuwa zinakutosha zinakubana.

Last two weeks nilikuwa napitia kakabiati kangu ka nguo kutafuta nguo ya mtoko, maana long time..

Nusu yake zote zinanibana...hapo siwezi sema ni ndogo,it means nimenenepa na sasa nguo hazinitoshi tena, nikakereka.

So usilaumu sana huyo dada MR Mtambuzi, yote yanawezekana
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA hapo kwenye bold una utani na Madame B....?

Nauliza tu...!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi kuvaa size yako ni kitu kingine na kujikuta ulikuwa size 12 then siku mbili tatu upo size 16.....
 
Last edited by a moderator:

Mammy hujambo?

Waendeleaje?
 
Mtambuzi unataka kunigombanisha na dada yangu eeh

Sema unataka kumfikishia ujumbe via me?

Eti, kwani Madame B ni mnene? Au anavaaga nguo ndogo? Niambie basiii

Namuona hapo Mtambuzi anavojishebedua, au kwa kuwa hayuko Dar, mwambie nina uwezo wa kumjia huko huko DRC na kumchakaza vilevile.
KOKUTONA... mfikishie salamu hzi Mzee Mt.
 
Mr Mtambuzi atakuwa keshapitia hapa na kuupokea ujumbe.

Mchokozi sana huyu m kaka. Kachanganyikwa na mbegu fupi DRC
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…