Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,523
Hapana ni kuchoka kusoma ujinga.Mkuu kwani umelazimishwa?
Mkuu usilazimishe watu wote wawaze kama wewe, kama majaji walisema ni mshindi basi tuheshimu uamzi kama hao majaji ni halaliHapana ni kuchoka kusoma ujinga.
Ngoja nikupe mfano kwa point zinazofuata.
Mshindi wa JF wa jukwaa la whatever, ushindi wake ni kuhusu maswala ya kodi.
Hoja zake sasa ni sijui tax as related to gdp project and nonsense. Huyu mtu amepata kura za wataalamu.
Uhalisia ni kwamba ukiingia kwenye mtiani wa kodi
Una deal na personal income taxes (based on national laws)
Business taxes (based on national laws.
Kwenye soko moko hilo kuna ruhusa za kukwepa kodi kama charitable donations,
How to treat losses,
Capital allowances, rates zake, based on law (budget ya mwaka husika).
Balancing ‘statement of financial position’
Purchases
Sales of shares or investments over time and tax liability.
Ni hivi mtihani wa kodi una mambo luluki.
Mshindi wa JF kwa kigezo cha ufahamu wa kodi ni ujinga mtupu; haya ndio mambo yananikera.
Huyo mshindi hajui lolote kuhusu mambo ya kodi
Someni na kuwa wataalamu sio kujazana ujinga na kupeana likes kwa ujinga mnaojazana na kudhani akili za wetu wengine ni sawa ujinga wenu wa JF halafu mnapeana likes wakati over 80% ya posts za kitaalamu ukisoma ujinga mtupu.ujumbe wako ni nini?
Uhitaji kuwaza kama mimi, who am I in this world, a nobody.Mkuu usilazimishe watu wote wawaze kama wewe, kama majaji walisema ni mshindi basi tuheshimu uamzi kama hao majaji ni halali
Mkuu wewe unatakaje? Hakuna kiwango cha usomi kila mtu ni msomi kwenye field yake, wewe unaweza kuwa na masters ya sheria au PhD lakini huwezi hata kufunga bulb kwenye nyumba yako, sijui kipimo chako cha usomi ni nini?Uhitaji kuwaza kama mimi, who am I in this world, a nobody.
Hila academic ina reasoning zake za kutengeneza arguments, watanzania wengi awawezi kujenga hoja on basis of their discipline reasoning.
Ukisoma wengi wanaijiita wasomi wanaandika ujinga mtupu; hiyo ndio kero yangu.
Ndugu Mayor Quimby ,nnje ya hoja yako,naomba nikuulize swali.Japo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana.
Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga.
Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it has nothing to do with grammar but the merit of the argument.
Washindi wa mashindano ya JF hata hayo mambo yenyewe hawana uelewa nayo mpana.
Kama mshindi wa mwaka huu hata hayo maswala yenyewe ya kodi hajui.
Sasa ni hivi nimechoka kusoma ujinga na kupeana likes zenu za ujinga katika mambo ambayo watu hawana ufahamu nayo.
To hell, kwa kweli inachosha kusoma ujinga halafu mtu ana likes mia; wakati ni nonsense tupu.
That’s me
Niki kutwanga uelewe either ujibu concerns zangu; au kaa kimya.
The nonsense I read is beyond me.
Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho ukielewi na ukajiita msomi the audacity.
That’s my message if you see, hata kama una likes mia kama upuuzi nakutwanga tu.
You don’t get my argumentMkuu wewe unatakaje? Hakuna kiwango cha usomi kila mtu ni msomi kwenye field yake, wewe unaweza kuwa na masters ya sheria au PhD lakini huwezi hata kufunga bulb kwenye nyumba yako, sijui kipimo chako cha usomi ni nini?
Mkuu kuna kusoma na kuelimika, first degree nani alipitisha kuwa ndiyo kigezo cha usomi? Nadhani lazima twende deep kidogoYou don’t get my argument
Kwanza kwangu once you have the first degree ndio tafsiri ya usomi; not bothered so much with post graduate qualification.
Sasa unakuta mtu ambae hata hoja za undergraduate he can’t present them academically, that’s what annoys me.
Essay/Reposts is usually 30% of the marking (because you have all the time in the world grammar constitutes 5% of the marking) exams is 70% of the module they don’t care on spelling, grammar and other nonsense, but your arguments.
Sawa mkuu....awawezi= hawaweziJapo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana.
Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga.
Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it has nothing to do with grammar but the merit of the argument.
Washindi wa mashindano ya JF hata hayo mambo yenyewe hawana uelewa nayo mpana.
Kama mshindi wa mwaka huu hata hayo maswala yenyewe ya kodi hajui.
Sasa ni hivi nimechoka kusoma ujinga na kupeana likes zenu za ujinga katika mambo ambayo watu hawana ufahamu nayo.
To hell, kwa kweli inachosha kusoma ujinga halafu mtu ana likes mia; wakati ni nonsense tupu.
That’s me
Niki kutwanga uelewe either ujibu concerns zangu; au kaa kimya.
The nonsense I read is beyond me.
Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho ukielewi na ukajiita msomi the audacity.
That’s my message if you see, hata kama una likes mia kama upuuzi nakutwanga tu.
First degree inakupa fundamental knowledge of your discipline, necessary skills to perform, tasks,, ability to write an argument that’s about. Hakuna kitu kingine kipya utajifunza masters and PhD but more specialisation tu.Mkuu kuna kusoma na kuelimika, first degree nani alipitisha kuwa ndiyo kigezo cha usomi? Nadhani lazima twende deep kidogo
Kama wajua kiswahili...na sie tu waswahili....Kuna haja gani ya kukingerezesha?...tafsiri yake..wewe wajisikia sana na juhudi za kasa ndani ya maji.You don’t get my argument
Kwanza kwangu once you have the first degree ndio tafsiri ya usomi; not bothered so much with post graduate qualification.
Sasa unakuta mtu ambae hata hoja za undergraduate he can’t present them academically, that’s what annoys me.
Ndio uwezo wetu, that’s not a marking criteria in an exam.Sawa mkuu....awawezi= hawawezi
Huna uwezo wa kujadili mada yanguKama wajua kiswahili...na sie tu waswahili....Kuna haja gani ya kukingerezesha?...tafsiri yake..wewe wajisikia sana na juhudi za kasa ndani ya maji.
Unaweza ukawa sahihi lakini pia usiwe sahihi. Vyote unazodhani uko sahihi zilifanyiwa tafiti na watu mbalimbali na kuziwekea framework kuwa ndiyo miongozo yenye uhalisia.Hapana ni kuchoka kusoma ujinga.