Mkuu itafute hutajuta kupoteza muda kuangalia ni movie inahusu operation za US army afghan
John kinley anapoteza interpretor kwenye mlipuko Kisha baada ya hapo anampata mwingine baada ya interview ndogo
Huyu jamaa anaitwa Ahmed ameshawahi kuwa Taliban akaasi baada ya wataliban kuua kijana wake
Jamaa alikuja kuwa msaada mkubwa sana wa kumuokoa John kinley
Mi sio muhadithiaji mzuri ila ndio hivyo