The Civic United Front ( CUF-Chama Cha Wananchi )

Nabihu

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
293
109
VIONGOZI WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NGAZI YA TAIFA WANAOTAMBULIWA NA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA;

THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF–Chama Cha Wananchi)

THE DIRECTORATE OF INFORMATION, PUBLICITY AND PUBLIC RELATION P.O.BOX 10979 DAR ES SALAAM

TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.

Imetolewa leo Tarehe 29/3/2017
Na. Kurugenzi ya Habari na Uenezi–CUF Taifa
Kamati yaUongozi ya Taifa iliyoundwa na Baraza Kuu inaongozwa na Mhe. Julius Mtatiro.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CUF Taifa inaongozwa na Mhe. Abdallah Khatau.

Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Taifa wanaotambulika na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa ni hawa wafuatao:

1. Maalim Seif Sharif Hamad -Mwenyekiti
2. Joran Lwehabura Bashange -Kaimu Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi
3. Nassor Ahmed Mazrui -Naibu Katibu Mkuu-Zanzibar Zanzibar
4. Abdallah Bakari Hassan- Naibu Mkurugenzi wa fedha na Uchumi
5. Mustafa Wandwi -Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama
6. Yussuf Salim - Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama.
7. Omar Ali Shehe - Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi
8. Shaweji Mketo - Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi
9. Ismail Jussa Ladhu -Mkurugenzi wa mambo ya nje na Mahusiano ya Kimataifa.
10. Abdallah Mtolea - Naibu Mkurugenzi wa mambo ya nje na mahusiano ya Kimataifa
11. Salim Bimani - Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma.
12. Mbarala Maharagande - Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma.
13. Kulthum Mchuchuri -Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu.
14. Pavu Abdallah - Naibu Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu.
15. Fatma Kalembo - Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Wanawake Taifa-JUKECUF
16. Mahmoud Ali Mahinda -Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Vijana Taifa-JUVICUF.

CUF NI TAASISI IMARA YENYE VIONGOZI MAKINI

HAKI SAWA KWA WOTE

----------------------------------------------

MBARALA MAHARAGANDE
NAIBU MKURUGENZI WA HABARI, UENEZI
NA MAHUSIANO NA UMMA- CUF TAIFA
MAWASILIANO: 0784 001 408/0715 062 577

387669bf9373a278d5e5c5861980e332.jpg
1fc6bd4e5e268e573781814562c86e80.jpg
 
Kwa yanayoendelea itafika kipindi watoto wetu watawadharau Maprofesa.

Kwa sababu Baba zao walishindwa kuwa Ma Prof kutokana na nakisi ya Uwezo Darasani Kwa hiyo wakawapandikiza Chuki na Propaganda Watoto ili wasihoji kwanini Baba zao walishindwa kuwa ma Prof
 
Wakiona mfano wa Lipumba na kuambiwa eti ni Profesa sidhani kama watatamani hiyo elimu.
 
VIONGOZI WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NGAZI YA TAIFA WANAOTAMBULIWA NA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA;

THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF–Chama Cha Wananchi)

THE DIRECTORATE OF INFORMATION, PUBLICITY AND PUBLIC RELATION P.O.BOX 10979 DAR ES SALAAM

TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.

Imetolewa leo Tarehe 29/3/2017
Na. Kurugenzi ya Habari na Uenezi–CUF Taifa
Kamati yaUongozi ya Taifa iliyoundwa na Baraza Kuu inaongozwa na Mhe. Julius Mtatiro.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CUF Taifa inaongozwa na Mhe. Abdallah Khatau.

Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Taifa wanaotambulika na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa ni hawa wafuatao:

1. Maalim Seif Sharif Hamad -Mwenyekiti
2. Joran Lwehabura Bashange -Kaimu Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi
3. Nassor Ahmed Mazrui -Naibu Katibu Mkuu-Zanzibar Zanzibar
4. Abdallah Bakari Hassan- Naibu Mkurugenzi wa fedha na Uchumi
5. Mustafa Wandwi -Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama
6. Yussuf Salim - Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama.
7. Omar Ali Shehe - Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi
8. Shaweji Mketo - Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi
9. Ismail Jussa Ladhu -Mkurugenzi wa mambo ya nje na Mahusiano ya Kimataifa.
10. Abdallah Mtolea - Naibu Mkurugenzi wa mambo ya nje na mahusiano ya Kimataifa
11. Salim Bimani - Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma.
12. Mbarala Maharagande - Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma.
13. Kulthum Mchuchuri -Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu.
14. Pavu Abdallah - Naibu Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu.
15. Fatma Kalembo - Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Wanawake Taifa-JUKECUF
16. Mahmoud Ali Mahinda -Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Vijana Taifa-JUVICUF.

CUF NI TAASISI IMARA YENYE VIONGOZI MAKINI

HAKI SAWA KWA WOTE

----------------------------------------------

MBARALA MAHARAGANDE
NAIBU MKURUGENZI WA HABARI, UENEZI
NA MAHUSIANO NA UMMA- CUF TAIFA
MAWASILIANO: 0784 001 408/0715 062 577

387669bf9373a278d5e5c5861980e332.jpg
1fc6bd4e5e268e573781814562c86e80.jpg
Akina mtatiro wanajitekenya kisha wanacheka wenyewe. Ivi mtatiro anajua hawatamburiki kisheria yeye na genge lao.
 
Back
Top Bottom