The changing face of marginalised Kenya

Hata simu kuwa reachable mwisho ni Kakuma. From there utumie simu za satellite. Small country yet u have not succeeded to tar all ur roads wala network coverage ya simu.
 
misifa humu ndani lakini in reality hovyoooo....wiki mbili hivi zimepita a kenyan friend kaniambia antembeze apo dunga beach kisumu. dahhh nlichokiona, jaluos defacating into the lake @ midday. alaf wanavua samaki apooo kinyesini!!...yaani ilkuwa kinyaaaa, just told my guy, av seen enough.
 
You just relax. Kutukana dont change the fact that north kenya is full of shit.. Hata huko mnakosema kuna mafuta from Kakuma to Tarach hakuna hata defined road.. Full wilderness.. Sasa utaonea wivu umaskini kama huu. Shamefull north kenya
Are you talking about Kenya ama your entire low income country??
 
misifa humu ndani lakini in reality hovyoooo....wiki mbili hivi zimepita a kenyan friend kaniambia antembeze apo dunga beach kisumu. dahhh nlichokiona, jaluos defacating into the lake @ midday. alaf wanavua samaki apooo kinyesini!!...yaani ilkuwa kinyaaaa, just told my guy, av seen enough.
Just like Mwanza... My deskmate was from there.... He used to tell me. Haha.
 
Mapele, nikama una upele wa fikra wewe. Small poor Kenya had 14.12% of paved roads out of a total road length of 161,415 while Tanzania had 8.63% of paved roads out of a total road length of 86,472. This is according to nationmaster. Hio yamaanisha barabara za lami ni 22792 in Kenya na 7463km kwa Tanzania

Kisha ukumbuke Tanzania ni kubwa zaidi ya mara mbili kuliko Kenya kwa hivyo île shit umeona Kenya ushaizoea huko bongo.

Link ndio hii hapa :-
Countries Compared by Transport > Roads > Paved > % of total roads. International Statistics at NationMaster.com
 
Lami mwisho kitale.. From there to lokichar to lodwar to kakuma up to lokichongio huko mpakani na sudan more than 300km full dirty road.. Hakuna cha changarawe wala nini. Full shit..
mwenye macho haambiwi tizama
 
Nitakupa taarifa tu.....
Kuna gap of one year HAPO katika hizo data na pia hiyo ni 2000's hivyo, hizo data sio valid kwa kuzitumia kwa wakati huu (kumbuka mpango wa kuziunganisha barabara zote za mikoa na wilaya katika Tanzania ulisukwa wakati wa kikwete and mostly accomplished katika second term 2010- 2015) ..

By the way,Kenya IPO katika nafasi nzuri zaidi ya urbanization NA hata uendelezwaji wa barabara kutokana NA kuwa na ardhi iliyo nusu yetu huku bajeti yenu ikikaribia kuwa Mara mbili yetu....
Hope umenielewa
 
Ndio, nishakupata. Hizo takwimu ni za jadi na hapo pia ugatuzi haukua umekithiri Kenya. Barabara nyingi sana zimejengwa na serikali ya majimbo Ili kuziunganisha na nchi zima.

Kwa hivyo, ingawa natambua ule mradi wa kikwete wa kuunganisha mikoa, sioni vile yawezekana kwa Tz kujenga barabara zaidi ya kilomita 15000 Ili iweze kupiku ile idadi ipo hapo juu ya Kenya. Bila hata kuzingatia kuwa Kenya imejenga pia kilomita mingi ya barabara tangu huo wakati. Mwenzenu asijitahidi hapa kukejeli Kenya bila ya kutambua uhalisia wa miundo msingi kama barabara nchini Kenya ikilinganishwa na taifa la jumuia ya Tanzania
 
Hivyo ni vyote ni kweli kwa kuwa hakuna nchi itafanya maendeleo huku nyingine zikiwa zimesimama...
Kenya mpo vyema katika miundombinu kwa kuwa mpo katika nafasi nzuri zaidi kuliko sisi yaani kifedha na kijiografia kwa mfano:- Tz kuna mito mingi ambayo ni seasonal hivyo , barabara nyingi hutakiwa kujengwa ikiambatanishwa na madaraja ambayo huongeza costs za barabara .....

Lakini pia tambua kuwa , barabara nyingi za Tanzania zimejengwa kwa kms nyingi compared to Kenya kwa kuwa umbali wa kuunganisha mikoa ya Kenya ni tofauti na Tanzania .....
Nimeiona taarifa yenu ya kujenga barabara on north Kenya ambayo ni sawa na yetu kwa south tz ingawa kwa Tanzania kazi ni kubwa zaidi kwa sababu za kijiografia.... Hivyo cost ni tofaut

Kibaki alijitahidi katika miundombinu kama kikwete pia..
Alafu nimeupenda mfumo wenu wa serikali za kijimbo maana unazidi kuwarahisishia maendeleo..
 
M

Mkuu unaeleweka vyema sio kukurupukwa ovyo kaa wengine humu.
 
Geza is a pathetic fala who earns a living from JF by trolling.Sources have indicated.
 
Thank you God for devolution and H.E.Mwai Kibaki

Welcome to Wajir County
13490671_1141586522559728_538512405979273510_o.jpg
13490582_1141586649226382_9075858932747347957_o.jpg
13522919_1141586572559723_1567699012854328342_o.jpg
 
Lami mwisho kitale.. From there to lokichar to lodwar to kakuma up to lokichongio huko mpakani na sudan more than 300km full dirty road.. Hakuna cha changarawe wala nini. Full shit..
inakaa huu upele upo mpaka kichwani hadi fikra hamna.hiyo barabara tarred iko mwisho marich pass si kitale.it used to be tarred mpaka lodwar ni vile ilikua neglected. evidence enda kainuk u will get patches of former road.ni kama ile ya el wak-rhamu-mandera iliwekwa lami but ikabomoka with time since kenyattas tym i have traversed the whole of northern kenya usilete vitu unasoma kwa blog.
 
Back
Top Bottom