Who has read this book?
Jamaa ametutukana sana waafrika ila kwa asilimia 90 yupo sahihi,
Kama hujasoma hiki kitabu tafuta ukisome
The Capitalist Nigger by Chika Onyeni.
100% correct, tunanunua kila kitu kutoka nje ya jumuia zetu.
MFANO: Kama kuna duka la Mtanzania na Mhindi kwenye mtaa mmoja, watanzania wataenda kununua kwa muhindi na siyo kwa mtanzania mwenzao, na wahindi hawataenda kununua kwa mtanzania la hasha wataenda kwa muhindi mwenzao, mwisho hela kwenye jumuiya zetu hazibaki zinapita tu kama daraja, Chika is 100% correct.