Mkuu ninamfahamu vizuri huyo mtu wa kwenye avatar yako hapo, he was my classmate pale Tambaza. Majina yake yanaanzia na H and B ni wewe au umeamua tu kutumia bila yeye kujua mkuu???
Tatizo yeye anaongea tu,ushahidi hana.Wenzake wanaushahidi kuwa alibaka,namuonea huruma ana miaka 32,akipigwa mvua 30 atatoka na miaka 62.Cha kufanya sasa hivi aachane na mitandao,ajikite kwenye kesiyake,pia amwombe Flora hao ndugu zake wafute kesi
Tusiwe wepesi kuamini wasemayo wanadamu, mengi sana sio halisi. Uliamini wana ushahidi na Emma alibaka, atatoka jela akiwa na 62YO. Leo yupo jela?? Tusiamini kila jambo watu wasemalo.
mahakamani iyo kesi haipo, ipo ya kubaka, think big bro and unlesh your potential, huyu jamaa anatafuta excuse na simple popularity, wajinga wote mtamwamini, ila ajibu tu kesi yake maana haya yote hayasaidii