“The birds will be flying high tomorrow”

Huyu ni Buritanicca. Britanicca mwenyewe og ALIKUWA akisema kinatokea kama mwanamazingaombwe vile enzi hizo za akina Eyeso Magic Show, Nomba Imajamasalah, Pof Singira, Babu wa Kihindi na wakongwe wengine. Sasa huyu Buritanicsa simuelewi kila akisema hakitokei badala yake kila akija anakuja na jipya. Na mbaya zaidi leo kaja na code za kilatini/ kigiriki sijui wameshadukua akaunti yake ya JF.

Ngoja tusubiri tuone itakuwaje maana naona kama tunasubiria ndege feri .
 
Tumehamia huko tena na si hatogombea!?.. September hii hapa
 
If 'MR' is such a big deal; then why the bother? JK seems to be straight forward, unless it is also mis-read!

All in all, I am concluding that there's nothing of substance in this topic to keep wasting time on it.
Somehow I totally agree with you.
 
Kuna mengi sana yanayoweza kutokea katika muda uliopo, na hata baada.
Mlisema hatogombea,anagombea,mlisema July-septembee,sasa mmepeleka baada ya kushinda uchaguzi
Halafu yote haya yanatoka wapi ya kutaka mama asimalizie awamu ya pili?..kosa lake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…