Habari za Jumapili JF Members.
Naamini hamjambo wote na wale wenye shida Mungu awapiganie mpone.
Back to the topic. Mahusiano ya mapenzi huanza kama mbegu inavyoota.
Huchipua kidogokidogo na mwisho huwa imara zaidi.
Lakini pamoja na kuchipua na kustawi hufikia kipindi yakaisha, mengine huishia katika ndoa na mengine uchumba.
Lakini kuisha kwake huleta maumivu, ni sawa na kusema mmea unang'olewa obvious lazima ukauke, usinyae n.k Lakini baadaye unaanza kuchipua tena.
Sasa kuna watu wanapoachana na wapenzi wao wanaumizwa sana, baada ya kuumizwa sana, sasa hawapendi tena wanafanya comparison with their ex( wanalinganisha na wapenzi waliopita).
This is the biggest mistake, you are no longer loving, you are comparing new lover with yo ex, that relationship will not work anymore.
Stop comparing your love with your ex please.
Just in case u see ua ex z better than the present lover, y did u let him/her get off you?