The Best Streaming Devices in the World.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo Wana JF.

Dunia inazid ku-advance kila kukicha. Miaka ya nyuma watu wengi tulikuwa tuki-stream contents from the Web kwa kutumia Computa. Wazungu wakakuna kichwa wakaona kwa nn tusitengeneze kifaa ambacho kitatumika chenyewe tu ku-stream bila ya kutumia PC!?

Ndio wakagundua Streaming Boxes kama Vile Boxee TV/Apple TV/ROKU/WD/Netgear/Sony Box etc.

Kazi ya hizi Streaming Boxes ni kustream Media Online. Unaweza kuangalia Movies kupitia(Netflix/Hulu/VUDU/Vanguard/Verizon/Amazon/Fox/SBC etc.
Pia waweza kuangalia Music/Comedy/History/Lifestyle and social Media nyingine. Pia waweza ona live TV pia kama Dish World etc.

Ukiwa umevutia na hivi vifaa vya kustream,Nataka nikupe list ya Kumi bora Duniani ya hizi streaming Boxes.

1.Roku3
2.Roku2 07:23:22
3.Apple TV
4.Google Cromecast
5.Vizio Co-Star 07:24:01
6.Sony
7.WD
8.Boxee
9.Samsung
10.Netgear

Kama kuna Mtu anaye tumia Hizi streamning Media, Atujuze ufanisi wake ili tuweze kuinjo kwa Pamoja.

Mm nnatumia ROKU3. Hii ni #1 Streaming media Duniani. Imekubalika na watumiaji kwa Stability pamoja interface yake kuwa nzuri. Pia unapata channels zaidi ya 1000. Free contents za kumwaga.
 
Kama uko bongo umetudanganya unless ndugu yako anafanya kazi kampuni zinazoprovide internet bongo, au uwe unalipa hela ndefu sana kwa internet, ila kama uko nje ntakubaliana na matumizi yako ya ROKU, simply ni kwa sababu kustream content za online kwa bongo, internet za bongo kwa speed kusema ukweli bado zina mizinguo unless mtu analipia hadi milioni per month kwa data... Au tueleweshe wewe hiyo internet unapatapata vipi na bei zinakwendaje wengine tujiunge... Au unastream chini ya 720p maana kuanzia 720p kwenda juu movie moja kwa huduma ka netflix si chini ya GB kadhaa..
 
Sony Blu-ray ndo natumia, nimeipenda sana. Sasa sihitaji kuwa na streaming media na DVD player kwani Sony inafanya hivyo vyote. Description yake ndo hii hapa chini.
This Sony Blu-ray Disc Player with Wi-Fi and 3D lets you easily stream over 100 services likeNetflix, YouTube, Hulu Plus, Pandora and Fitness & Wellness applications. Enjoy 3D Blu-ray Disc movies in full HD 1080p, or upscale DVDs to near HD quality. Experience better picture quality with a fully-encased optical drive. Easily share your photos and videos via the 2 USB slots
 
Speed(max 100Mbs + Matumizi(unlimited GB) @ Tshs 150,000/month Je kwa Tanzani ingekuwa bei gani?
 

Attachments

  • SpeedTest2.png
    22.6 KB · Views: 142
  • DataUsage.png
    5.8 KB · Views: 144
USA...Nilikosea kidogo hiyo bei ni kwa Internet pamoja na Digital cable TV. Internet pekee ni $60.00

Pamoja Mkuu, huku Bongo haya mambo ya streaming bado ni majanga sana pamoja na kuwa na Mkongo wa Taifa lakini mwendo ni wa Kobe.
 
Pamoja Mkuu, huku Bongo haya mambo ya streaming bado ni majanga sana pamoja na kuwa na Mkongo wa Taifa lakini mwendo ni wa Kobe.

Streaming bongo iko fasta sana mkuu. Bongo tambarare siku hizi
 
kwa google cromecast ya ukweli, kinachomatter ni HDTV na smartphone ya ukwel hata tablet ila providers bongo hapa wanatunyima raha xaana
 
kwa google cromecast ya ukweli, kinachomatter ni HDTV na smartphone ya ukwel hata tablet ila providers bongo hapa wanatunyima raha xaana
Hebu tujuze smartphone zinauhusiano gani na streaming, km tayari una cromecast na HDTV?
 
Hebu tujuze smartphone zinauhusiano gani na streaming, km tayari una cromecast na HDTV?
dah! sikutegemea kama unaweza uliza swali kama hili.,. chromecast inahitaji wifi ata connection ili irecieve any data either kwenye internet au from device, na medium lazima iwepo,., sasa hapo ndio smartphones tablets zinapokuja kufanya link kati ya chromecast na source ambayo ni internet au device in the wifi homegroup.. sijui umeelewa au huko usa kila sehemu kuna wifi hotspots kiasi kwamba huhitaji kuwa na medium kama mifi routers au smartphones hotspots???
 
Nyumba karibia zote hapa zipo wired, either by telecomms au makampuni ya Cable TV. Chache sana kwenye remote small town ndo wanatumia satellite. Kwa maana hiyo karibia kila nyumba ina WIFI, ndo maana nikasahau kuwa huko home kila kitu lazima kipitie kwenye cellular network. Ukiangalia matumizi yangu ya internet hapo juu, wastani ni 100GB kwa mwezi. Kwa kifupi hivi vitu navijua sana wala huhitaji kushangaa. Na kumbuka kuwa siyo kila streaming device inatumia wireless, kuna zingine zipo ambazo zipo wired.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…