Daah naipenda sana hiiUmesahau na INDIANA JONES chief
Mm pia, ni nzuri...full of adventureDaah naipenda sana hii
Zoote ila Air Force one ni mwisho wa mambo! Mzee hafai huyoo!Mm pia, ni nzuri...full of adventure
Ziko nne. Ipi unaipenda sana?Daah naipenda sana hii
Maelezo bila tupicha au video huwa yanaleta ukakasi.....Wana jf wenzangu natumai mwaendelea vyema na wkend.
Nikirudi upande wa Harrison Ford mimi mpenzi wa movie zake nyingi hasa pale anapokutana na mikiki ya hali ya juu na kupambana wakati mwili wake ni wa kawaida.
Baadhi ya movie zake ambazo zinanimaliza mtima ni
The fugitive
Clear and present danger
Firewall
Air force one
Witness
What lies beneath
Hollywood homicide
Sio siri namkubali hasa anavyoonekana mnyonge mnyonge lakini akianza kazi zake huwezi amini
Let's discuss kwa wale ambao tunamkubali
Nawakilisha
Mambo.
Airforce One..ni movie ambayo haiishi ham kuitizama hata pale uko na Mazngira yoyote Sebuleni..na Clirps nnayoipenda sana pale ford alpomvisha parchute @their neck yule adui yake na kumwambia.."got'out of my plane"Wana jf wenzangu natumai mwaendelea vyema na wkend.