HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jun 24, 2014 #2 Kuna watu kazi zao ngumu sana, mimi ningeshafukuzwa kazi au kupelekwa lupango kama sio kituo cha polisi
Kuna watu kazi zao ngumu sana, mimi ningeshafukuzwa kazi au kupelekwa lupango kama sio kituo cha polisi
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jun 24, 2014 #3 englibertm said: Click to expand... kazi kama hii ni hatari kwa usalama wa ustawi wa ndoa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jun 24, 2014 #4 Hii kutegana lakini kwanini asipewe ajira mwanamke mwenzake?