Tulikuwa seminary pale moshi tunapelekwa kibosho galz na mapadre kwa debate only nikifika pale mbele nasahau hata na motion ilikuwa inasema nini, siunajua tulikuwa hatuna hata mwalimu mwanamke?
yaani umenikumbusha benki yetu wakati huo.... Benk ya posta bana!!!maisha yalikuwa tambarere.....unabomu homu wankutumia vijisenti chap chap maana upo mabli na hm!!!
Ulikuwa Maua nn!??Maana wale kwa debate hatari kabisa..walitutisha..nakumbuka tulienda tukiwa form 1...na mimi ndo nilikuwa speakeer wa mwisho. aah kwa jinsi walivyokuwa wanainterrupt..nikagoma kuongea!
utasikia;"To open the eyes of the speaker"
au;"To bring the speaker back to the navel of the motion."..afu basi tu kukuintimidate!chairpesron anawaambia;"denied!"
duh the auld lang syn-good old days!!!!!
hivi hizi ndo zile unapiga wewe afu unayempigia ndo analipa au???Mnazikumbuka Reverse call lakini????,mimi watu wa posta walishanizoea na hii maneno
bana eh... nilinunua nchele-nchele kwa khimji aisee wakati niko fomu wani na viatu vya "wet-looking"... Yaani ile picha kila nikiiona nacheka!!Best Car- 'Pijo' 504 😀
Best Touser- 'Mchele-mchele'
Best song- TRAPPED- Colonel Abrams
...ngoja nikapekue makabrasha, huenda nikakutana na 'autograph' za miaka hiyo 🙂
hivi hizi ndo zile unapiga wewe afu unayempigia ndo analipa au???
Mkuu kuna siku kiliniwakia aisee... nimepiga reverse call tena kwa jirani halafu hom hakuna mtu na jirani akanichomolea kwamba hailipii hiyo reverse callMnazikumbuka Reverse call lakini????,mimi watu wa posta walishanizoea na hii maneno
Mkuu kuna siku kiliniwakia aisee... nimepiga reverse call tena kwa jirani halafu hom hakuna mtu na jirani akanichomolea kwamba hailipii hiyo reverse call
Pale simu arusha nilipaona kama central aisee
The same happened to me mara kibao tu,nilikuwa nagombana sana na maopareta wa TPTL pale Moshi town,maana unakuta una shida(EMO hujaisikia siku nyingi) unamuomba opareta akufanyie utaratibu wa Reverse call home halafu home wazee hawapo,kucheki kwa jirani anatoa nje na kusema halipii hiyo Reverse call.....dah....Asante sana Nguli kwa hii useful thread
surely this is a wonderful thread... sijamsoma Geoff sijui vipi leo kwenye hii thread!!
Kuna siku tulikua tunaenda mziki nikatumiwa TMO pale posta arusha aisee ya kama 3,000/- unfortunately walikuwa wanafunga mapema nikafungiwa nje... suruali zenyewe kwa term nzima mbili; mtihani na ufupi wangu nikaazima trousers za mshikaji nilikunja kama pindo tatu hivi... ilikuwa kama zile katuni za masudi kwenye tisheti zake
The good old days, when love was true
gone are those days, when friends were true
i miss those days, when life was true🙁
Gone are those days...
Bwana wee,mi huwa nikikumbuka my school days nakuwa nahisi kama naangalia movie flani hivi,I wish ningeyarekodi matukio yote niliyoyafanya O-level na A-level
http://http://www.youtube.com/watch...729A7798&playnext=1&playnext_from=PL&index=26
http://http://www.youtube.com/watch...C55A78FD1&playnext=1&playnext_from=PL&index=3
Mkuu unakumbuka enzi za ubabe wa secondary moja huko Rombo ya wavulana tu? jina limenitoka kidogo.....walikuwa wanajiita wagumu.
Heheeeeeeeee,unawazungumzia KILI BOYS nini mazee,hawa jamaa walikuwa na vurugu kimtindo bila kuwasahau Umbwe Dume
hahaaaaa... Kili Boys walikuwa wagumu kimtindo ila waligeuzana wale... na umbwe ni ganja na "piwa" mtindo mmojaHeheeeeeeeee,unawazungumzia KILI BOYS nini mazee,hawa jamaa walikuwa na vurugu kimtindo bila kuwasahau Umbwe Dume
ebwanaeeee! lol si mchezo uminifanya nirudi nikikumbuka beck benchaz