Ukweli mchungu👿Kuwachekesha watanzania kwa sasa ni jambo lisilowezekana. Hao wazee bora watafute kazi ya maana, muda unasonga
Huyu inabidi awepoTiny White namba ngapi?
Halafu jamaa hata hatumii nguvuHuyu inabidi awepo
For sureHalafu jamaa hata hatumii nguvu
Ukiongezeka umri utabadilisha mtazanoHii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Mzee Athumani Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...
Mkwere na lile kundi lake lote la mizengwe ukiwaangalia usipocheka ujue una matatizoMkwere wa mizengwe ...huyu fala miaka ile alikua wa moto sanaaa
Hii list kweli naona inaendana na umriUkiongezeka umri utabadilisha mtazano
Na anavyochekesha mwenyewe anakuwa serious amekunja ndita kama hakuna kilichotokeaHalafu jamaa hata hatumii nguvu
Wote hapo hakuna anaemfikia uyo dadaHii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Mzee Athumani Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...