The best browsing Speed

Bontowar

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
520
Reaction score
53
Habari wakuu

Please ninahitaji kujua katika mitandao yetu hapa nchini TZ modem zake zina speed haswa ukiwa una streaming video/Radio online inakuwa haistop mara kwa mara

Shukran tena kwa wooote
 
Nimetumia nyingi voda, airtel, tigo, zantel na TTCL, kwa hiyo naongelea uzoefu hapa, japo determinant kubwa ni network ya mahali ulipo, yaani kama inaruhusu EDGE, WCDMA au HSDPA. To me airtel is the best hasa kwa video streaming, ukipata HSDPA connection haikwami kabisa, ninaangalia hata mpira na michezo mingine kupitia DSTV kwenye laptop yangu na haikwami.
 

Mkuu tafadhali tujuze unapataje DSTV through laptop? Nina DSTV, naangalia kawaida through TV,please explain to me how can I watch those channels by using my laptop!
 
Airtel is the best am watchin uk league with my laptop safi kabisa so inategemea na aina ya mawimbi kama ni edge speed itakuwa ndogo sana kuliko hsdpa wcdma so watu wengi hawajagundua how to change from edge to hsdpa wanasema ni kutokana na mnara na mahali ulipo,mi nakataa kwani minara ni hiyo hiyo kama network ya simu inapatikana basi ya internet lazima iwepo so cha kufannya change the simcard kuna simcard nyingine zinapokea mawimbi ya edge na nyingine ni hsdpa,nimefanya uchunnguzi nikagundua simcard za zamani za zain zilikuwa zinatumia hsdpa na za sasa za airtel zinatumia edge,so tafuta line za zamani ujaribu utaniambia,edge speed ni 285kbps wakati hsdpa ni 3.6mbps yaani 12times!
 

mkuu sio sehemu zote zenye coverage ya HSDPA...maeneo mengi ya nje ya miji ni edge...hata kama una simcard mpya haijalishi
 
mI SIELEWE eDGE ,cdma,hsdpa NDO VITU GANI AU NI aina ya modem na je ni kutoka kampuni gani!!!Msaada kwenye tuta tafadhali
 
mkubwa nimefanya research sio kama naandika vitu vya kubahatisha,mimi nakaa Bahari Beach ni nje ya mji wa Dar mara ya kwanza nilikuwa napata edge baada ya kuchange line nikaweka ya zamani ninapata wcdma na hsdpa ndio ninayobrowse sasa hivi na spee d yake ni noma ht kwa kudownload.
 
Hizo ni teknolojia za maswala ya internet hapa kwetu cdma ni makampuni ya ttcl,zantel na sasatel the rest yanatumia 3g au gsm technology zenye edge na latest technology za wcdma na hsdpa kwa ufafanuzi zaidi ya hivi vitu nenda google.
 
Airtel
3G Service

With your Airtel SIM card you can access 3G service in Dar es Salaam, specifically in the City Center, Kariakoo, Regent Estate, Msasani, Oysterbay, Upanga, Masaki, Mikocheni, Kijitonyama, and Kawe.
 
very interested, hata mimi ckuwa najua but maelezo yenu yamenifungua wakuu. thanx.
 
Mkuu tafadhali tujuze unapataje DSTV through laptop? Nina DSTV, naangalia kawaida through TV,please explain to me how can I watch those channels by using my laptop!

Mkuu kama una DSTV naamini utakuwa na smart card number, ingia kwenye website yao au hapa SuperSport, then unajiregister kwa kutumia smart card number, baada ya hapo utaweza kuangalia live streaming ya selected sports kama soccer (hasa Barclays Premier League), tennis nk, live bila chenga kupitia laptop yako.
 

Sijui mkuu, mimi natumia simcard mpya ya airtel lakini napata mawimbi ya HSDPA, na kwa simcard hiyo hiyo nilipokwenda mkoa nilipata EDGE. Nadhani ni strength ya network na aina ya mawimbi ulipo, na sio issue ya simcard.
 
du je sasa hivi tiGO mnaiongeleaje kenye mpango mzma wa internet
 
tigo bado sana maana jamaa zao wa kitengo cha internet ni wababaishaji kinoma niliwapelekea simu yangu aina ya sony ericsson xperia x10 waniwekee net wakabaki wanatoaa mimacho tu kwena airtel yani ni fasta nikawa hewani.
 

kaka unafanyaje kuangalia dstv.nisaidie na mimi nitoe usumbufu kwenda mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…