Nasumbuliwa sana na virus hususani unapofungua any web zinapop up other windows na matangazo kibao mara vigames vya ajabu ajabu,nililipia Avast lakini naona hamna kitu kabisa haizuii chochote, naomba kujuzwa kwa anaejua ni Antivirus ipi nzuri hasa kwa mtumiaji wa internet kwenye computer yake. computer natumai Dell M6600. Natanguliza shukrani na nawatakia mfungo mwema