Dukebwoy
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 223
- 83
Ni wazi kabisa wa Tanzania ni watu wa kupuuzia mambo ya msingi leo hii kuna hii scandal ya January Makamba kuusishwa na wizi huu wa dollar za kimarekani na watu wengi wameonesha wana uchungu na suala ili,ila pia usishangae kuona siku mbili tatu zikapita na kuona watu hawa hawa wakaridhika na hali ya mambo.
Ifike wakati wa Tanzania tuwe na misimamo ya dhati juu ya viongozi wabovu ili kuweza kujenga taifa lenye viongozi bora.Kama sakata ili la Makamba likichukua zaidi ya mwezi mmoja naamini ni wazi kabisa mh rais atalivalia njuga suala ili.
DUKEBWOY