Tormund alikaza sana pale, Hivi ni nani alirusha jiwe wakati wamezungukwa na army of the dead yakagundua kumbe yanaweza yakapita kuwasogelea juu ya frozen lake?πππ
Yaani mi nilijua hachomoki mtu pale ππ Alafu yule king of the white walkers alivyomfufua yule dragon nakuanza kumtumia yeye nilipatwa na kihoro/ alosto ya S8 nijue watamuuwaje yule dragon maana alikuwa ni shidaπ