acheni kuandika vitu msivyo vielewa...Mzee Mwanakijiji, ni bahati mbaya sana, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hauna mkataba wowote in a real sense ya mkataba wa kimataifa kati ya mataifa mawili huru. Tukishakubaliana kwamba hakuna mkataba kabisa, hapo ndipo ilegitimacy ya muungano ilipoanzia. Kilichopo sio mkataba wa Muungano bali ni makubaliano ya muungano, not a contract but only agreement just like MOU.Pamoja na kutokuwepo huo mkataba, mimi ni muumini wa Pan-Africanism kuwa Waafrika ni wamoja ila ni wakoloni ndio wamekuja kutuwekea mipaka. Hakuna ubishi Wahaya wanabelong chini ya Kabaka Empire enzi za Interlucustrine Kingdom ambapo kina Mkama Rumanyika were part and parcel, bali ni mkoloni ndiye aliyekuja kupiga mipaka wahaya kujikuta wako huku na Waganda kule, sawasawa na Wamasai wa Kenya na Uganda ni wale wale.Hatuhitaji paperwork documents be it hati au mkataba kuonyesha tumeungana, kama yalivyo mapenzi ya kweli toka enzi za mababu, hatukuhitaji hati/cheti cha ndoa kuthibitisha mapenzi na ndoa ni mpaka waipokuja wazungu na macheti yao.Hivyo Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulizaa Tanzania, hauhitaji paper work be it hati/mkataba ili kuuhalalisha, hata pale Nyerere na Karume waliposemezana tuu wao kwa wao ilitosha bila kuandika chochote popote. Tatizo hizi zote mbili zilishakuwa nchi huru kwa mujibu wa wazungu, mambo yanakwenda kwa hati na maandishi na ikibidi wananchi washirikishwe kitu ambacho hakikufanyika kwa mujibu wa taratibu.Kwa maoni yangu, Wanzanzibari ni wanafiki wa hali ya juu sana, kama waliukubali Muungano bila kuleta fyoko fyoko yoyote, iweje leo wakapitisha kura ya maoni kuulizia jambo dogo jema la kuwaletea umoja miongoni mwao, na wasitake kutumia fursa hiyo ya kura ya maoni kuwauliza Wanzanzibari jambo kubwa kama hili la Muungano na nchi nyingine?!.
mwanakijiji unatia aibu...historia ya zanzibar huijui na chanzo cha muungano hukielwi....wewe acha tu...sio lazima uchangie kila mada...you are just exposinghawawezi!! kwa sababu tukikubali wanaweza itakuwaje kama Kilimanjaro nao wanataka watoke kwenye Muungano (kumbuka kabla ya Tanganyika Kilimanjaro ilikuwa tayari kuwa taifa peke yake!); nini kitazuia haki ya wananchi wa Kagera kujitenga au Mtwara na Lini? Wawaulize wenzao wa Marekani ya kusini ambao walitaka kuvunja muungano wa US!!
Buchanan mbona unataka tena kufunua mambo wewe, unaulizia uhalali wa Serikali ya Mapinduzi ilityoingia madarakani kwa umwagaji damu?. Usitake kuwachokoza Wanzanzibari kwa kuuliza hivi Mzanzibari ni nani?. Kama Karume Sn alitoka Malawi na akalowea Zanzibar, na watoto wake (Amani na Ali) aliwapeleka shule Malawi, ndivyo alivyo Kiongozi wa Mapinduzi ya John Okello toka Uganda, lakini kwa kila walichofanya Zanzibar, ni Wazanzibari.
Kuna aina mbili za serikali, De Facto na De Jure, Serikali De Jure ni serikali kwa mujibu wa Sheria, na Serikali De Facto, ni serikali za kimapinduzi ambazo hakuna uchaguzi wala Demokrasia. Serikali ya Karume ilikuwa De Facto kwa vile iliingia kwa mapinduzi, lakini Serikali iliyopo sasa Zanzibar, jina la SMZ ni jina tuu, lakini serikali De Jure iliyochagulia na wanmanchi, hata kama uchaguzi wao haukuwa uchaguzi huru na wa haki.
.Serikali De Facto, ya Karume (Sr) ilikuwa halali au la? Kulingana na Sheria ya Mzanzibari (The Zanzibari Act, 1985) Mzanzibari ni nani hasa? Au kulingana na mawazo yako (bila kujali sheria anyway au tuseme De Facto kama unavyodai wewe) Mzanzibari ni nani? Ni wale Waarabu toka Oman ndio Wazanzibari?
Nashauri tu
KILA ANAYEUTOA MUUNGANO HUU DOSARI AWEKE PIA UMRI WAKE.
.
Buchanan serikali De Facto na De-Jure, zote ni halali kwa sababu ndizo zinazotawala, hata serikali za kimabavu ni halali ndizo zinazotawala, hata serikali za kimapinduzi wengi wa viongozi wake wanaingia madarakani kwa umwagaji damu, na wengine ni damu hizo hizo zinawaondoa.
Master Sergent Samuel Doe at 23 alipomuua rais William Tolbert katika mapinduzi ya umwagaji damu na kumfukia kwenye kaburi la pamoja bila heshima zozote, naye hicho ndicho kilichomkuta. Bahati nzuri waandishi wa Mapinduzi 'Matukufu' ya Zanzibar, hawajaandika kilichowakuta waarabu waliojinjwa kwa majambia na wake zao na vibinti vyao kutwaliwa na kugeuzwa wake wa wanamapinduzi. Hakuna tawimu walikufa watu wangapi, nakumbuka kitabu fulani cha history O-Level kilitoa takwimu ya watu 64,000 kwa Zanzibar iliyokuwa na watu chini ya 500,000 that was a hell!.
Kama umefika Mji Mkongwe Zanzibar, Malindi etc yalikuwa ni maeneo ya Waarabu, wamejinjwa na sasa ndimo tukakaa kina siye.
Tangu hayo Mapinduzi ya 64, hakuna shughuli za siasa Zanzibar, hakuna vijana Wanzanzibari kujiunga Chuo Kikuu bara, (Elimu Zanzibar mwisho form 1V!), Hakuna uchaguzi wowote, ukimpenda binti wa Kiarabu kajitwalie, wapinzani walipotea without a trace (Ilisemekana baada ya kuteswa sana, walifungwa mawe shingoni na kutoswa baharini wangali hai! no trace of their bodies up to date!), ni Nyerere aliwanusuru kina Okello, Babu na Kanal Mafudha etc. Hata baada ya hayo, bado unauliza kama utawale ule ulikuwa halali, yes, halali lakini haukuwa wa haki.
Hili la Mzanzibari, ni la kulikalia chini na katiba ya Zanzibar, ila nchi zote zilizopata uhuru chini ya Mwingereza, katiba zake za uhuru ziliundiwa Wenstminster, Tanganyika ikiwa ni moja wapo, Watu wote walikokuwepo ndani ya ardhi ya Tanganyika ule usiku wa Desemba 9, Saa 6:00 usiku, wote walikuwa ni rais wa Tanganyika automatically including wazungu na wahindi wote, ila hawakuupoteza uraia asili wa nchi zao (dual). Naamini ndivyo ilivyo kwa Zanzibar, Karume alikuwa ni Mzanzibari hata wale ndugu zangu na Wanyawezi nao ni Wazanzibari, hata kama wao kule wanawaita Wazanzibara!.
, alikuwa ni kibaraka wa Nyerere aliyewekwa kutimiza azma na malengo haramu ya Nyerere. Kumbuka Mwinyi kawekwa na Nyerere baada ya Nyerere kumfukuza Jumbe na alipoona yatamkuta yaliyomkuta Karume kwa kuwa watu waliazimia kulipa kisasi, alipewa urais wa Muungano na Wazanzibar wakampendekeza marehemu Idrissa Abdulwakil.
From takashi Hizo ni kasumba mlizo pewa na yule dictator (Nyerere). hapa humpati mtu,tafuta hao wengine uwajaze hizo kasumba... Waambie hao viongozi bongo
[/SIZE][/FONT]
=Ngekewa;911261]
[/QUOTE]Mdogo wangu nakueleza haya kwa uchungu sio chuki kwa kuona kuwa mimi ni Mtanzania lakini nakuwa kama niko kwenye kutawaliwa kwani kama sisi ni ndugu kwanini Mkubwa awe na choyo cha maendeleo ya mdogo wake?
Napata wakati mgumu kukuamini kutokana na hali halisi ya figisufigisu hizi zinazoendelea...
(iv) There shall reserved to the Parliament and Executive of the united Republic the following matters-
(a) The Constitution and Government of the united Republic.
(b) External Affairs.
(c) Defence.
(d) Police.
(e) Emergency Powers.
(f) Citizenship.
(g) Immigration.
(h) External Trade and Borrowing.
(i) The Public Service of the united Republic.
(j) Income Tax, Corporation Tax, Customs and Excise.
(k) Harbours, Civil Aviation, Posts and Telegraphs.
And the said Parliament and Executive shall have exclusive authority in such matters throughout and for the purposes of the united Republic and in addition exclusive authority in respect of all other matters in and for Tanganyika.
Source: CHADEMA DIASPORA : STRAIGHT FROM UN: The Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar