The art of war (why JPM is winning against his rivals)

Taasisi hazifai kuwepo kama inaendelea kumtegemea mtu. Dr. alikuwepo wengine wanashika kijiti mambo yanasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima kuwepo na maandalizi ya mshika kijiti siyo kwenda kuokoteza mtaani. Yatawakuta kama ya Liverpool baad ya Ken Daglish kuondoka ama Manchester United baada ya Sir Alex Ferguson kuondoka.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100% huwezi kushinda vita bila mipango. Huyo Zitto anahangaika kupoteza muda kugombana na Speaker kwaajili ya CAG as if CAG hawezi kujitetea ama amemuomba awe wakili wake. Hapo unawasaidia lakini angalia wafuasi wake wanavyokujibu.

Tatizo hilo la matukio ndilo linampa kick JPM bila wao kujitambua. Kila mipango yao yote wanaifanya nabkuitekeleza kwa faida ya JPM. Wewe unawezaje kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuuliza uhali wa speaker kumuita CAG wakati mmezuiliwa kufanya mikutano ambayo mnaruhusiwa kikatiba lakini hamujaenda Mahakamani.

Hapa upande wa upinzani hakuna wanasiasa zaidi wapigaji na wahuni. Siasa za Tanzania nadhani zinahitaji sana watu wa aina ya Magufuli hata kwa miaka 20 ijayo maana wengi wamekua exposed si ccm ama upinzani kuwa ni wapigaji tu.

Maana Waziri mkuu katembelea jimbo lake zaidi ya wabunge wa kawaida ambao hawana wajukumu ya serikali halafu uchaguzi ukifika wakipigwa chini wanalalamika kuibiwa kura.

NIONAVYO MIMI 2020 WENGI HAWARUDI DODOMA PANDE ZOTE CCM NA UPINZANI
Umenena vyema ,hasa jambo la wao kuzuiwa kufanya mikutano ,hawakwenda mahakaman lakin kwa CAG wameenda
 
Back
Top Bottom