The Art of logo designs

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
Habari wanaJF leo nimeamua kuanzisha mada inayohusu the whole industry of logo designs hivyo basi unaruhusiwa kuchangia chochote unachojua kuhusu logos.

logo is the visual presentation of of an organisation/company or certain activity.it is not a brand but a part of a brand
logo saves the following roles


  • identification,ie to identify your organisation/company activities to your clients
  • distinction,ie to differentiate your company product/activities from others
  • communication,ie logo says something about your company/organisation activities.always the message spread is positive message


A good logo should be


  • Simple,simple logo can be remembered well.always complex logo outperform
  • Original
  • Should complement a company name
  • Should look good in black and white
  • Should be scalable


Nitaendelea kesho

Kama unahitaji good and powerfull logo wasiliana nami kupitia 0654262419
look on my sample designsView attachment 223446View attachment 223447View attachment 223448View attachment 223449View attachment 223450
 
Hizi logo zote ulizotoa mbona ni za kwenye internet, sijaona ambayo imetengenezwa from scratch, wame customize to text.
 
Sasa kama hizo sample tu zinaonekana zimetokea kwenye ile software ya aaa logo, what makes you think that you can convince people to pay you to do their logo?

weka na za kwako ulizotengeneza from scratch tuone.........
 
weka na za kwako ulizotengeneza from scratch tuone.........

Unafeli mkuu,

Wewe unatangaza biashara yako, ungeweka sample zako ili watu wavutiwe.

Hapo ni kama mnabishana na jamaa wakati yeye hafanyi biashara.

Wewe ndo utapoteza
 
Mbali na kua umecopy kazi za watu, bado sample zenyewe ni mbaya alafu ni rasterized images badala ya kufanya vector. U need to work on ur skills man sio kujibu watu ovyo
 
mbali na kua umecopy kazi za watu, bado sample zenyewe ni mbaya alafu ni rasterized images badala ya kufanya vector. U need to work on ur skills man sio kujibu watu ovyo

Ahsanteeen woote kwa changamoto...............nitayarekebisha mapungufu yaliyojitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…