kuna kituo cha Kenya kinaendesha kwa kuiga, TBC wanaonyesha ila ina bore kishenzi. kuna some wakenya na wabongo. Kiinglish kama kawaida yetu !Na mimi niliipenda sana ilivyokuwa ikirushwa TBC.
................ hiyo ni ya wakenya, ina bore kweli !:A S embarassed:Na mwaka huu itarushwa pia, nimeona matangazo yake
Ilikuwa inagusa kazi zangu kabisa, wakati mwingine ilikuwa inanipa taabu kweli hasa wakati wa Boardroom na kufukuzana, yaaani tension mpaka kwa mtazamaji !umekumbusha mbali sana, niliipenda sana ile program na nilikuwa sikosi kuangalia kila j'pili
I think that was one of the very educative programs nimeshaziona. I saw it in tbc one time. Nadhani tangu ile haikufanyika tena... sijui what happened.
wapi? usaili unafanyika vipi? kuna kiingilio? NINATAKA KUSHIRIKI HII KITU PLEASE NAOMBA ANGALAU HATA UNIONYESHE INAKOPATIKANA. NITASHUKURU SANA MKUU