Hii Vita kuu ya tatu naiombea usiku na mchana ije na tena iwe ya nyuklia maana sisi maskini ndo tutaneemeka hapo hapo, kutakuwa na fursa nyingi Sana za biashara na pesa zitakuwa bwelele mitaani, maana matajiri wata invest Kwa fujo mitaani ili waongezeze vipato.Ndugu zangu wanajf
Ninafuatilia kwa ukaribu vita inayoonekana kuendelea duniani ikipewa jina la vita dhidi ya Ugaidi.Sasa naona South Korea nayo ipo njiani kuchafuliwa na marekani!Balaa ninaliohisi ni pale ambapo URUSI nayo imeingilia kati na kuweka ndege za kutupia makombora na helkopta zenye uwezo wa kudaka makombora ya adui katika pwani ya Korea kaskazini!Korea kusini inawaunga mkono waamerika.Sasa Huko kuna IS,ALQAEDA,BOKO HARAM nao wanawindwa na kuwinda.
Bado kuna SOUTH SUDAN,BURUNDI,SYRIA,YEMEN na AFGHANISTAN,PAKISTAN INDIA na KASHMIR.
Nahisi mwanzo wa vita ya 3 ya dunia inanukia!Nangoja kuiona Afrika inamuunga nani mkono na kumuacha nani!
Ooh GOD help the world
Duh mkuu usiombe vita ni balaa.Hii Vita kuu ya tatu naiombea usiku na mchana ije na tena iwe ya nyuklia maana sisi maskini ndo tutaneemeka hapo hapo, kutakuwa na fursa nyingi Sana za biashara na pesa zitakuwa bwelele mitaani, maana matajiri wata invest Kwa fujo mitaani ili waongezeze vipato.
itakuwa fujo juu ya fujo, eeh Vita kuu njoo mbona unachelewa?
Hujui unalosema unahisi tuHii Vita kuu ya tatu naiombea usiku na mchana ije na tena iwe ya nyuklia maana sisi maskini ndo tutaneemeka hapo hapo, kutakuwa na fursa nyingi Sana za biashara na pesa zitakuwa bwelele mitaani, maana matajiri wata invest Kwa fujo mitaani ili waongezeze vipato.
itakuwa fujo juu ya fujo, eeh Vita kuu njoo mbona unachelewa?
MUNGU aepushie mbali
Sikulaumu coz vita itakua unaionea kwenye tv tu.Hii Vita kuu ya tatu naiombea usiku na mchana ije na tena iwe ya nyuklia maana sisi maskini ndo tutaneemeka hapo hapo, kutakuwa na fursa nyingi Sana za biashara na pesa zitakuwa bwelele mitaani, maana matajiri wata invest Kwa fujo mitaani ili waongezeze vipato.
itakuwa fujo juu ya fujo, eeh Vita kuu njoo mbona unachelewa?
We hauko sawa kichwani subiri hizo pesa kama utazinona sasaHii Vita kuu ya tatu naiombea usiku na mchana ije na tena iwe ya nyuklia maana sisi maskini ndo tutaneemeka hapo hapo, kutakuwa na fursa nyingi Sana za biashara na pesa zitakuwa bwelele mitaani, maana matajiri wata invest Kwa fujo mitaani ili waongezeze vipato.
itakuwa fujo juu ya fujo, eeh Vita kuu njoo mbona unachelewa?
Religious fanatism!! a lot of rhetoricalUkisoma maandiko matakatifu na kuyadadavua utagundua kuwa hakuna Vita vya tatu vya Dunia. Kitakachotokea ni kuwa kutakuwa na Mtawala mmoja mwenye nguvu chini ya Utawala wa Marekani. South Korea na Nchi nyingine zinazojitutumua zitadhibitiwa na mwisho Binadamu wote watalazimishwa kuabudu siku mmoja. Mtawala huyo ndiye yule mnyama wa 666 aliyenenwa katika Ufunuo kuwa ole wake atakae pokea chapa yake.
Na vipi pale iliposemwa 'taifa dogo litainuka na kulipiga taifa kubwa'?Ukisoma maandiko matakatifu na kuyadadavua utagundua kuwa hakuna Vita vya tatu vya Dunia. Kitakachotokea ni kuwa kutakuwa na Mtawala mmoja mwenye nguvu chini ya Utawala wa Marekani. South Korea na Nchi nyingine zinazojitutumua zitadhibitiwa na mwisho Binadamu wote watalazimishwa kuabudu siku mmoja. Mtawala huyo ndiye yule mnyama wa 666 aliyenenwa katika Ufunuo kuwa ole wake atakae pokea chapa yake.