Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,732
- 107,179
Mbona AirTanzania siioni, huu ni ubaguzi na upendeleo wa hali juu.
Kioo chako cha cm kidogo jitahid kuzoom utaionaMbona AirTanzania siioni, huu ni ubaguzi na upendeleo wa hali juu.
Kioo chako cha cm kidogo jitahid kuzoom utaiona
Angalia vizuri ndugu kwani hizo umezionajeAti Qatar na British Airlines zimetushinda, siyo kweli hata kidogo.
teh teh teh ni kawaida tu katika dunia ya ushindani, mbona hakuna hata kampuni moja kutoka Amerika kwenye hiyo orodha..
teh teh teh ni kawaida tu katika dunia ya ushindani, mbona hakuna hata kampuni moja kutoka Amerika kwenye hiyo orodha..
Kq...kenya air ways vipi haipo ata 10 bora..kumbe haina tofauti na fast jet...
:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
Amerika yuko chini kwa mambo mengi sana, sema tu kashikilia propaganda kwa kutumia vyombo vya habari. Tofauti na hapo hamna kitu, tupa kule.!!!