Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
cannot wait to watch the debate. in a milluon years will Tanzania especially ccm accept that their presidential candidate to participate in one unless the candidate is magufuli or membe. if it were kikwete; you know the answer to that.
Je, Mdahalo huu utakuwa kwa manufaa ya wananchi wa kawaida wa Kenya waelewe wagombea urais wanataka kuifanyia Kenya nini ili wafanye uamuzi wa busara yupi wampe kura au mdahalo (debate)ni maalum kuwaridhisha wafadhili wa nchi za Magharibi (Google, CNN, Reuters etc)?
Je wagombea wataweza kujieleza vizuri kwa Kiswahili ili wananchi walio wengi waelewe mipango, sera na ahadi za wagombea urais au wagombea watafanya mdahalo kwa lugha ya Kiingereza kwa ajili ya elite class ya Kenya ambao ni wachache?
Nashauri NTV managing editor Linus Kaikai na Julie Gichuru wa the Royal Media Services wafanye safari ya haraka kuja Tanzania tuwapatie uzoefu tulionao wa midahalo (debate) toka mwaka 1995 ili umma wa Kenya unufaike na zoezi hilo muhimu.
Mkapa, Mrema, and Cheyo participated in one in 1995.
Makamba alizuia mijadala ya wabunge,aliwazuia wabunge wa chama chake cha Magamba wakati Tido Mhando alipokuwa TBC,viongozi wa kitanzania ni al majununi makubwa yanapokuja mambo muhimu ya kisiasa.Huyo dada kwenye red namkubali sana,pia kuna mwingine kutoka RMS anaitwa Hassan ni kijana mahiri sana katika kuongoza mijadalaJe, Mdahalo huu utakuwa kwa manufaa ya wananchi wa kawaida wa Kenya waelewe wagombea urais wanataka kuifanyia Kenya nini ili wafanye uamuzi wa busara yupi wampe kura au mdahalo (debate)ni maalum kuwaridhisha wafadhili wa nchi za Magharibi (Google, CNN, Reuters etc)?
Je wagombea wataweza kujieleza vizuri kwa Kiswahili ili wananchi walio wengi waelewe mipango, sera na ahadi za wagombea urais au wagombea watafanya mdahalo kwa lugha ya Kiingereza kwa ajili ya elite class ya Kenya ambao ni wachache?
Nashauri NTV managing editor Linus Kaikai na Julie Gichuru wa the Royal Media Services wafanye safari ya haraka kuja Tanzania tuwapatie uzoefu tulionao wa midahalo (debate) toka mwaka 1995 ili umma wa Kenya unufaike na zoezi hilo muhimu.
Thank you America for introducing the world to televised presidential debates!:usa2:
Tunapaswa kuiga ili na sisi tuwe na mdahalo wa wagombeaCCM waliogopa...
nina shauku sana na huu mdahalo...