Tafakari kwanza nilichokiandika.
Tafakari kwanza nilichokiandika.
Asante. Hongera piaHongera kwa aliyewahi fundisha atakuelewa. Mi sio mwalimu ila nilipiga temple baada ya kumaliza form six. Majaribu yapo sana ila nami nilijiwekea nadhiri kama wewe kuwa sintatembea na wanafunzi. Inakupa na kukulindia sana heshima
Ikaweje?Tukiacha utani ivi vitoto vya saiv ni wakubwa wenzetu jamani,kuna kisichana kilacha shule kinaenda keshea madudu uko nje, nikasema ngoja nikikamate nikifanyie intervuew lahaulah!!
Wee!acha kabisaa vitoto vya kike nuksi balaa!tena hatarii!Mtoto wa kike mwanafunzi anapata wapi ujasiri wa kujirahisisha kwa mwalimu wake?!?..
Sitaki kuhukumu ila nina mashaka na unajipresent kwao..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaaawewe uko kama mimi....mimi hata ungenitega vipi huwezi kunipata....
Na ndio maana sijawa mwalimuTatizo ya hiv vitoto ukila kamoja tu umeisha haribu kila kitu, kataenda kusimlia wenzake na wenzake nao watataka tu uwale.
Yan sijui huwa vinaoneana wivu
Ni kweli kabisa mkuu na vile maslahi yao duni na CWT wanawanyonya sanaUmeonesha udhaifu mkubwa mno......huwa tunawastua kijoti,kisha unasepa usiweke turubai.....wakimaliza shule huwa hawatakupa salammu......mtoto WA mwenzio mkubwa mwenzio......usipopiga utapigiwa Tu,hakuna namna
Had sister ukapiga? Hawakujua kama unawatembezea fimbo wote?Na. Ndio maana sijawa mwalimu
Maana baada ya ku graduate nilikuwa mlinzi shule ya wasichana Kilimanjaro..
Matron Alijua si unajua wanawake na wivu akaniletea fitina nikaachishwa kaziHad sister ukapiga? Hawakujua kama unawatembezea fimbo wote?
Umempokea Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako? Hai wanaowatuma hao mabinti hakika ni ma agent wa shetani.Swali zuri. Wapo waliokuwa wanatumwa na utawala wa shule kama sehemu yao ya kunidodosa. Wapo waliokuwa wanatumwa na watesi wangu. Source ni watumwaji wenyewe walikuwa wananifungukia baadae agenda hizo za siri.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Ndio nimempokeaUmempokea Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako? Hai wanaowatuma hao mabinti hakika ni ma agent wa shetani.
Ni kweli kuna mambo ni heri mtu usiyaguse hata kwa majaribio. Watu hawaogopi cha miaka 30 wala nini. Steji ya ukuaji itaangukia kwa nitakayemuoa.mkuu endelea kuomba sana mungu akuepushe la sivyo ukishaanza kuwajua ladha yao baada ya kuoa itakuwa kanyaga twende kila anayejilengesha unafyeka maan naona kama unaruka stage ya ukuaji wa mwili wako
sawa
Nakupongeza sana sana maana hayo nimepitia mengi sana hata mimi sisi tunaodili na wfunzi tunapata majaribu mazito kama hayo lkn ukishinda ninraha sana mimi huwa hata sina hela silali njaa naletewa vyakula na wazazi wa watoto mara nyingi sana mzazi.Salaam wana JF,
Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na "Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi...
Safi sana. Umeamua kuchagua 'raha ya milele'. Hongera piaNakupongeza sana sana maana hayo nimepitia mengi sana hata mimi sisi tunaodili na wfunzi tunapata majaribu mazito kama hayo lkn ukishinda ninraha sana mimi huwa hata sina hela silali njaa naletewa vyakula na wazazi wa watoto mara nyingi sana mzazi.mmoja wa kiume alidiriki kusema wewe ni mwamba yani hujamtongoza mwanangu mzuri hv ukiwa na shida yoyote nione wengine wakataka hata niwaoe binti zao.kwa kuwa walijua mm ni mwaminifu lkn sikuwahi kuwatamani hawa mabinti nimewalinda kama wanangu au dada zangu leo naheshima zangu hata kwa wazee hawwna wasiwasi kbsa lkn si rahisi ni kaazi sana bila Yesu aisee huwez kbsa...