Thatcher fund na utapeli wao

Thatcher fund na utapeli wao

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,716
MMH MATAPELI WA AJIRA......

mie kuna siku nimekutana na kazi somewhere jamani nikaaply
Kulipwa kwa madola nani asiyetaka na hapa nnapofanya kazi
nishajichokea mie .....

Sa nikakutana na mambo ya Psychometric test ofcourse ilikuwa my first time
nikaomba watu kama wanajua maana nilipost humu JF kuulizia I was like this
is the chance I should never LOOSE!!!!!!!!!!

Kumbe jaama ni wezi,maana ktk mail wamerecommend na sehem unazoweza
kufanyia hizo aptitude test nilopokutana na fee yake ambato its like 6759 ksh
ambayo ni sawa na 125,000 TZS.... I was like what!!!!!!!!!

maswali yangu yakawa hivi
1.Deadline ya kazi ni tarehe 31 August lakin nikaambiwa
nisubmit matokeo ya APS before 30 July.....
2.Kwanini hela yote ile au ndo toa HELA upate HELA!!!!!!!

Lakini nikaja kukutana na hii kitu kwenye website fulani ya rwanda
Finance Manager **** FAKE **** , Kigali (Employer: Thatcher Fund)

About this job ************** FAKE JOB ************* FAKE JOB ********************
This job has been identified and confirmed as a FAKE!
We have decided to let it displayed on our website to remind you that you definitely need to be careful when looking for a job.
- YOU DON´T NEED TO PAY anyone to have a job or to have an interview
- NO SERIOUS employer will never ask you to pay to pass an aptitude test during recruitment process
- VERY attractive SALARIES should drow your attention. If not sure please ask us we will always be happy to help!
**************************************************************************

website ya hao watu ni Vacancies
 
utaibiwa shauri zako,izo kazi za kuanza interview tu na pesa uzushi ooh
 
dah!mm nilipoona wananiletea izo habar za Psychometric test nilikuwa nishavunjia moyo.ila nikaona nitume ile form yao ya assmnt ivoivo jamaa wakaniambia kuwa kabla kabla tarh 30 niwe nishawatumia wakatoa na link ya kufanya izo test online ama physical na malipo yak nikaona kw hali hii basi tu mana mm nilifkiri iyo test unafanyiwa na muajiri wako wa ss ili ijuulikane uzaifu wako ama venginevo...ila dah!kazi ipo
 
ni matapeli sana,sasa deadline ya zile kazi ilikuwa

august 31 lakin APS unaambiwa submit before July 31.....

ni kuwa makin sana na hawa watu
 
duh! si mchezo. watu wanatumia kila njia ili wapate hela. pole sana. mia
 
mmh matapeli wa ajira......

Mie kuna siku nimekutana na kazi somewhere jamani nikaaply
kulipwa kwa madola nani asiyetaka na hapa nnapofanya kazi
nishajichokea mie .....

Sa nikakutana na mambo ya psychometric test ofcourse ilikuwa my first time
nikaomba watu kama wanajua maana nilipost humu jf kuulizia i was like this
is the chance i should never loose!!!!!!!!!!

Kumbe jaama ni wezi,maana ktk mail wamerecommend na sehem unazoweza
kufanyia hizo aptitude test nilopokutana na fee yake ambato its like 6759 ksh
ambayo ni sawa na 125,000 tzs.... I was like what!!!!!!!!!

Maswali yangu yakawa hivi
1.deadline ya kazi ni tarehe 31 august lakin nikaambiwa
nisubmit matokeo ya aps before 30 july.....
2.kwanini hela yote ile au ndo toa hela upate hela!!!!!!!

Lakini nikaja kukutana na hii kitu kwenye website fulani ya rwanda
finance manager **** fake **** , kigali (employer: Thatcher fund)

about this job ************** fake job ************* fake job ********************
this job has been identified and confirmed as a fake!
we have decided to let it displayed on our website to remind you that you definitely need to be careful when looking for a job.
- you don´t need to pay anyone to have a job or to have an interview
- no serious employer will never ask you to pay to pass an aptitude test during recruitment process
- very attractive salaries should drow your attention. If not sure please ask us we will always be happy to help!
**************************************************************************

website ya hao watu ni vacancies
pole sana..wengi wanatapeliwa kwa tatizo hili la ajira..
 
Pole na hongera sana, hii watoto wa mjini wanaita " MAITI AMEFUFUKA "
 
Pole na hongera sana, hii watoto wa mjini wanaita " MAITI AMEFUFUKA "
LIKUD asante........nilipiga sim nikawa nisha schedule muda wa kuifanya sema nilikuwa sijailipia bado
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom