Hongera bana...jenga taifa sasa!! manake ushatoka kwenye msoto
Hongera sana in kweli jf inasaidia sana hata mimi nilipata hii post yangu kupitia huku miaka minne iliyopita na sasa nimeamua kuwa mwanajamii member.Hatimaye nmepata kazi kupitia hapa. Ushauri ni kwamba; kwa wanaotafuta kaz msipende kuchagua post. wewe ukiona post ya kazi tuma maombi. u never know. Mimi nliapply tu bila hata kujua mahali ofisi ilipo hadi siku ya interview ndipo nkaelekezwa. na sasa ni muajiriwa wa hiyo kampuni, tena ni kubwa tu. Thnx again
Hongera
Hongera saana Be happy, katuwakilishe vema mkuu, maana Watanzania tuna sifa mbaya ya kutozingatia kazi, imefika wakati tujisafishe na kutoa hiyo sifa mbaya. Hasa tokana na watu kujisahau kuwa hapo alipo yupo kwa ajili ya manufaa ya wateja wake na sio kwa manufaa yake na familia yake peke yake. Nakutakia mafanikio na uzidi songa mbele...
Kwa kunufaika kwako na Jf, ni matumaini yangu kuwa Jf itafaidika nawe pia... Lol
Hatimaye nmepata kazi kupitia hapa. Ushauri ni kwamba; kwa wanaotafuta kaz msipende kuchagua post. wewe ukiona post ya kazi tuma maombi. u never know. Mimi nliapply tu bila hata kujua mahali ofisi ilipo hadi siku ya interview ndipo nkaelekezwa. na sasa ni muajiriwa wa hiyo kampuni, tena ni kubwa tu. Thnx again