thamani ya nyumba choo jamani..dah

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,415
2,969
wakuu vipi habari za humu bana,kitambo Sanaa watu wangu wa nguvu.jamani mwanza kuzurii sio kwa majengo na ziwa ila kwa viumbe hawa walio mponza adamu.niko kama mwezi hivi huku kila nikipisha na kiumbe cha kike kumi basi watano au wane mashalaaaaah mungu kawajalia mgongo yani full vifusi sijui ni hawa sagara....sato au vibambara au kamongo maan unakuta sura hakuna ila ugonjwa wangu dah...jamani jamani WACHA NILE KWA MACHO nisije nikamtema mama lengetee wangu arusha.
 
Tupiemo vipicha basi ili tuuguze wote hayo maumivu
 
Back
Top Bottom